Kwanini Mandela hakumsamehe mkewe Winnie?

Kwanini Mandela hakumsamehe mkewe Winnie?

Ila winnie alikuwa mzuri bana ,,na huyo mpofu mbona hb hivyoooo winnie alidata
 
Niliona hata kwenye msiba Zuma ndiyo alikuwa anaongea nae, alikuwa mpweke sana.
Mandela amewaachia watoto wa Graca kila mmoja nyumba South na mshiko bank. Baba yao aliwaachia kila mtoto nyumba Moputo
Grace hata huko kwao na Mandela huwa wanasema hawamtambui Mandela alilazimisha tu. Unajua wale wa sauz walumuona kama anafaidi sana ufesti ledi wakati hata haja uangaikia aliolewa Mandela akiwa tayari ni raisi wakati mwenzake Winnie aliteseka kweli.

Halafu huu mtazamo nimeona wanao hata kwa raia wa kawaida wa kigeni hasa wazimbabwe
 
Wakati yote hayo yanatokea ikulu halafu we mwananchi upo huku nje unalia hali mbaya,sijui nani atakusikiliza!
 
27 years with no man,i can never judge Winnie...never......havent felt her shoes
Wangapi anakaa 27 yrs with no man?.??
Dada mbona kiswahili fasaha kabisa hicho cha nukuu ya Mandela hakuna mahali amenyimwa kutombwa ila atombwe kwa siri hapa sasa usipo elewa tena sina namna nyingine ya kukufanya uelewe.
 
KATIKA WANAWAKE DUNIA,NCHI NA MUME WAKE HAIKUWATENDEA HAKI NI WINNIE MANDELA!

NA KATIKA VITU MANDELA ALIKIRI KUVISHINDWA KWENYE MAISHA YAKE ,NI NDOA!
 
MIAKA 27 BILA MUME!
MIAKA 27 YA KUBEBA CHANGAMOTO ZA KULEA WATOTO USIOJUA BABA YAO ATATOKA AU LA1
MIAKA 27 YA KUTAZAMWA NA KILA PEMBE !
MIAKA 27 YA KUPIMWA KWA MIZANIA ISIYO YA KIBINADAMU KABISA!
MIAKA 27 YA KUTAZAMWA KAMA MWANAMKE,KAMA MWANAUME,KAMA USIYE NA JINSIA!
MIAKA 27 YA KUHUKUMIWA HATA KATIKA YALE ULIYOPASA KUSAMEHEKA
MIAKA 27 YA WINNIE MANDELA!
NA LEO HIVI NDIVYO DUNIA IMEAMUA KUMUAGA WINNIE MEDIKEZELA MANDELA HIVI!
THE REST WILL NEVER REST WINNIE!
 
Najaribu kuwaza Winnie angefungwa 27 Mandela angekitembeza kiasi gani huku njee
Am sure angeoa mpya na kuzaa kabisaa
IMAGINE!
leo hapa kila mtu oh alikuwa Malaya!
miaka 27 NANI ANGEWEZA KUKAA ANASUBIRI MKE ?
 
Dada mbona kiswahili fasaha kabisa hicho cha nukuu ya Mandela hakuna mahali amenyimwa kutombwa ila atombwe kwa siri hapa sasa usipo elewa tena sina namna nyingine ya kukufanya uelewe.
Siri miaka 27?..imagine another side of the coin Mandela angemsitiri mkewe for how long
 
What mandela alicho hitaji toka kwa Wnnie ni Kumtunzia heshima
Hivi huyu mama alishindwa nini kuwa msiri hadi chama kikajuwa kwamba mama ni chapombe then anatoka hadharani na huyu bwana.
Hata kama mzee Jogoo alikuwa hapanda still
U can Love him bila kumuumiza hadharani
Mbona weeeengi wana tatizo la jogoo but wana waheshimu wenzi wao hata kama anatoka anafanya siiiri sana.
Uzinzi kwenye ndoa ndio dhambi pekee ambayo Biblia imeruhusu talaka .
 
Siku zote wanatakiwa kujua mke wa kwanza ndo mwenye mapenz ya dhati na ndo atakae kuvumilia katika kila hatua ya maisha yako na Mungu nae anakubariki, Vijana kuhangaika hangaika ndo mwanzo wa kukumbana na mabalaa ya dunian..... bahati mbaya kaka zetu hawataki kulitambua hilo wakipata kidogo wanakimbilia warembo sasa unafikiri nitakupenda vipi wakati nilishakukuta na familia yako
Huwezi jua mwanamke au mwanaume ambayee Mungu ndiye amekupangia kuwa huyu ndo atakuwa wako, haijalishi kuwa wa kwanza.
Ni ndoa ngapi tumeshuhudia kwa mara ya kwanza inasumbua, lakini mkishatengana na kila mmoja kuoa au kuolewa na mwingine ndo inatengamaa
 
snowhite said:
IMAGINE!
leo hapa kila mtu oh alikuwa Malaya!
miaka 27 NANI ANGEWEZA KUKAA ANASUBIRI MKE ?
Nafikiri issue kubwa ni baada ya Mandela kuwa nje. Fikiria wewe ni Rais wa nchi, unamzuia mkeo kwenda nje ya nchi na mtu ambaye mkeo anatuhumiwa kuwa ni hawara yake au aliwahi kuwa hawara yake.....mkeo anakubali kuwa hataambatana nae.

Anafika huko nje, unapigi simu ya chumbani kwake hapo hotelini simu inapokelewa na yuleyule hawara wa mkeo ambaye mkeo alikudanganya kuwa hataambatana nae! That was too much for any man absorb.

Mimi ni mwanaume. Nikivaa viatu vya Mandela sioni uamuzi tofauti na alioufanya Mandela katika context hiyo......sana sana kwangu angepata na "vibao" si kwa sababu ya kunisaliti bali kwa sababu ya kunidharau!
 
Niwaambieni kitu, hakuna kitu kibaya kama udanganyifu kwa kingono katika mahusiano. Inauma kuliko sindano ya kwenye koo. Kwa misingi hiyo unapo cheat na mwenzio akafahamu jua kuwa hasira ile inaweza kupelekea kupotezwa uhai. Wahanga wako wengi na kama mtu ameamua kuishi na wewe baada ya kutambua cheating jua iko siku ata revenge au anajipanga au anaamua aishi tu ila haiwezi kuwa ndi ndoa nzuri na ya furah kama awali.
 
Wandugu cheating au uzinzi katika ndoa au mahusiano ni maumivu makubwa sana. Mimi binafsi ni mhanga na ukweli imesababisha kuwa siamini kitu mwanaume kabisa na imenifanya kuwa out or relationship na niseme sivutiwi hata mtu anifuate kwa gear ipi. Usiombe unayempenda akusaliti. Anyway, ni kuomba Mungu atu aendelee kutoa uponyaji wake tu ili maisha yaendelee.
 
Back
Top Bottom