Kwanini maneno yasiyotamkwa mbele ya kadamnasi ya watu wameamua kuyaweka katika kamusi ya Kiswahili sanifu? What's the logic behind this?

Infantry Soldier

JF-Expert Member
Joined
Feb 18, 2012
Posts
15,892
Reaction score
16,476
Shikamooni wakubwa zangu wote wa hapa jamiiforums. Mimi mdogo wenu (Last Born) Infantry Soldier nipo mzima kabisa wa afya. Thanks to God the Almighty. Eti ndugu zangu watanzania;

Kwanini maneno yasiyotamkwa mbele ya kadamnasi ya watu unayakuta katika kamusi ya Kiswahili sanifu? What's the logic behind all this?

Jaribu kutazama screenshots chache hapo chini.



Kama haya maneno si mazuri kutamkwa mbele za watu, kwanini yanatambuliwa kuwa ni maneno sanifu ya Kiswahili? Na;

Kama haya maneno ni sanifu katika lugha ya Kiswahili, kwanini ukiyatamka mbele ya kadamnasi ya watu utaambiwa umetukana/huna adabu au watu kupigwa na butwaa?

MATUSI yanafanya nini katika kamusi ya Kiswahili fasaha?

Ninauza Vitabu Vya Kujifunzia Lugha Ya Kijerumani. Ich komme aus der Stadt Dar Es Salaam und verkaufe diese Deutsch-Lernbücher - JamiiForums

KUWA MZALENDO IPENDE TANZANIA. USTAWI WA NCHI YETU UNAANZA NA WEWE. TIMIZA WAJIBU WAKOIPASAVYO.
 
Kwamba hata kwenye Kamusi tafsida ilipaswa kutumika?
 
Swali zuri sana mzee baba. A very logical question. Congrats
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…