Kwanini manesi wana roho mbaya?

Kwanini manesi wana roho mbaya?

Embezzler

JF-Expert Member
Joined
Sep 8, 2023
Posts
2,290
Reaction score
5,716
Kwanini manesi wakike hasa wa Dar es Salaam hasa wanaohusika na wazazi wana roho mbaya sana.

Manesi kwani ninyi hamjui kwamba Kuna ambao hawana uwezo wa kuwahonga pesa.

Kwani ni kosa kuzaa? Wewe nesi hapo Muhimbili mama mtu mzima mwenye curl kit jiheshimu.
 
Hiyo kazi ni ngumu, inahitaji ujue kuishi na watu vizuri, kumtuliza mgonjwa, kumpa pole, yaani mgonjwa ana mahitaji ya kihisia..... na vile wagonjwa wanavyotia huruma na kulalamika, changanya na ugumu wa maisha wanayopitia hao manesi, changamoto za kazi wagonjwa wengi, manesi wachache.... kunakua na shinikizo fulani

Lazima hao manesi watakua wakorofi, sio wote lakini....

Ni kama customer care wa benki na waalimu
 
Umesema ukweli, ni mawazo mbalimbali.
 
Nimeshalala Muhimbili zote mbili. Ikifika saa tatu usiku, manesi wa kiume na wakike wanaingia kwenye chumba ambacho hakina wagonjwa, wanachukua shuka Safi , hawatoki humo mpaka saa kumi na moja alfajiri kuja kugawa dawa na kupima presha.

Pale Muhimbili ya Mloganzila kwenye wodi za watu wawili au watatu Kuna button ya emergency ya kumuita nesi au daktari kukiwa na dharura, aisee, zile huduma wakorea walituwekea lkn waswahili au manesi wanaziona Kama you Fulani hivi.

Nimewahi kuzibonyeza lkn Ni Mara moja tu niliona response, na hapo nesi kaja kuchungulia na kurudi kwenye chumba Chao kuendelea kunyanduana.

Mlio oa manesi mtajengewa mnara wenu.
 
Kwanini manesi wakike hasa wa Dar es Salaam hasa wanaohusika na wazazi wana roho mbaya sana.

Manesi kwani ninyi hamjui kwamba Kuna ambao hawana uwezo wa kuwahonga pesa.

Kwani ni kosa kuzaa? Wewe nesi hapo Muhimbili mama mtu mzima mwenye curl kit jiheshimu.
Mchambue zaidi tumfahamu
 
Back
Top Bottom