Siku ukioa na kuwa na mzazi pale Muhimbili utanielewamwanaume wa Dar akilalamika..
Tafuta HELA mkuu...Siku ukioa na kuwa na mzazi pale Muhimbili utanielewa
Kama kusafisha vidonda mbna hata hata Drs wanafanya hivyo.Mtu anasoma miaka 4 anakuja kufanya kaz ya kufuta vidonda na kutandika vitanda! Bila kusahau u-waiter hospitalini,lazima awe na hasira.
Umesema ukweli, ni mawazo mbalimbali.Hiyo kazi ni ngumu, inahitaji ujue kuishi na watu vizuri, kumtuliza mgonjwa, kumpa pole, yaani mgonjwa ana mahitaji ya kihisia..... na vile wagonjwa wanavyotia huruma na kulalamika, changanya na ugumu wa maisha wanayopitia hao manesi, changamoto za kazi wagonjwa wengi, manesi wachache.... kunakua na shinikizo fulani
Lazima hao manesi watakua wakorofi, sio wote lakini....
Ni kama customer care wa benki na waalimu
Daktari hasafishi kidonda labda kama wakiwa theater.Kama kusafisha vidonda mbna hata hata Drs wanafanya hivyo.
Ukiwapa mwekundu tu wanakunyenyekea balaatafuta HELA mkuu...
sitarudia kukushauri kuhusu hili
Wamama wangapi wanaotegemea kujifungua pale Temeke, wale wanaolala mzungu wa nne wodini Wana uwezo wa kumpa nesi mwekundu?Ukiwapa mwekundu tu wanakunyenyekea balaa
Mchambue zaidi tumfahamuKwanini manesi wakike hasa wa Dar es Salaam hasa wanaohusika na wazazi wana roho mbaya sana.
Manesi kwani ninyi hamjui kwamba Kuna ambao hawana uwezo wa kuwahonga pesa.
Kwani ni kosa kuzaa? Wewe nesi hapo Muhimbili mama mtu mzima mwenye curl kit jiheshimu.
Sio wote.Kwanini manesi wakike hasa wa Dar es Salaam hasa wanaohusika na wazazi wana roho mbaya sana.
Angalau hapa umekuwa specific, Ujumbe utamfiki.Kwani ni kosa kuzaa? Wewe nesi hapo Muhimbili mama mtu mzima mwenye curl kit jiheshimu.