Hata wahalifu nguli waliosumbua(most wanted) serikali zao huwa wanawaajiliNina ushahidi wa nje na ndani kwamba maofisa wa idara hizi wakimaliza utumishi wao WA umma japo huwa hawastahafu wakimaliza utumishi wao kwenye idara wanaajiriwa kwa mikataba na mashirika ya kijasusi ya nje Kama mossad CIA fsb mI5 na mi6 nk kwanini iko hivi je hawawezi kuwa double agents
Nina ushahidi wa nje na ndani kwamba maofisa wa idara hizi wakimaliza utumishi wao WA umma japo huwa hawastahafu wakimaliza utumishi wao kwenye idara wanaajiriwa kwa mikataba na mashirika ya kijasusi ya nje Kama mossad CIA fsb mI5 na mi6 nk kwanini iko hivi je hawawezi kuwa double agents
TENAAA AKOMEEEE KABISAAAAAAA KILAAAA.......NA.MBUYU WAKEEEEEMkuu kwenye bangi hapo umeenda mbali sana kwani bangi inatatizo gani,tuachie mmea wetu hauna tatizo
naunga mkono hoja ndugu mwenyekitiKwa niaba ya wavuta bangi wote, namtaka huyu mtoa maada aje kwenye kamati ya maadili ya wavuta bangi, akidharau wito wetu atakuja kwa pingu. Ametudhalilisha sana😡
' Tehtehtehteh' Papa Mukaruka kama nakuona vile.Mkuu kwenye bangi hapo umeenda mbali sana kwani bangi inatatizo gani,tuachie mmea wetu hauna tatizo
Wacha kuisakama bangi mzee!Namaanisha huwa tunawafikiria kama ni watu wa kipekee sana, wakati mfano kibongo bongo wengi vilaza tu. Wanavuta mpaka bangi.
Sure 100%
Tena kwasasa usijawajaribu tena hao.
Jaribu Polisi tu ujionee.
They are untouchables siku hizi.