Tetesi: Kwanini maofisa wa usalama wa nchi za Afrika wakimaliza utumishi kwenye idara zao wanaajiriwa kuwa maajenti wa CIA

Tetesi: Kwanini maofisa wa usalama wa nchi za Afrika wakimaliza utumishi kwenye idara zao wanaajiriwa kuwa maajenti wa CIA

Nina ushahidi wa nje na ndani kwamba maofisa wa idara hizi wakimaliza utumishi wao WA umma japo huwa hawastahafu wakimaliza utumishi wao kwenye idara wanaajiriwa kwa mikataba na mashirika ya kijasusi ya nje Kama mossad CIA fsb mI5 na mi6 nk kwanini iko hivi je hawawezi kuwa double agents
Hata wahalifu nguli waliosumbua(most wanted) serikali zao huwa wanawaajili
 
Nina ushahidi wa nje na ndani kwamba maofisa wa idara hizi wakimaliza utumishi wao WA umma japo huwa hawastahafu wakimaliza utumishi wao kwenye idara wanaajiriwa kwa mikataba na mashirika ya kijasusi ya nje Kama mossad CIA fsb mI5 na mi6 nk kwanini iko hivi je hawawezi kuwa double agents

ULITAKAAA WAAJIRIWE

#NIDA
 
Kuna tofauti kubwa kati ya UWT na James Bond, tatito sisi tunadhani wapo sawa!
 
CIA haihitaji kutumia Waafrika kuzijua habari zao wao wanatumia vifaa vya mawasiliano na vya kielektroniki kama simu na tv ambavyo tunaitumia kuzijua habari zetu zote bila ya sisi kujua. Kumbuka technologia hii ya smartphone iligunduliwa na Wamarekani na pentagon walizuia isisambazwe kwa miaka kumi sasa wewe jiulize walikuwa wanafanya nini? Ki ukweli we are at their mercy!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom