Tetesi: Kwanini maofisa wa usalama wa nchi za Afrika wakimaliza utumishi kwenye idara zao wanaajiriwa kuwa maajenti wa CIA

Usalama wa taifa ni watu wa kawaida tu. Hawana jambo lolote special na la kuogofya. They are just immortal like anybody else.
Mzee baba hapo kwenye kizungu unaposema wao ni immortal kama watu wengine nadhani ulikusudia kusema they are not immortal.

Ulichoandika ni kuwa hawafi kama watu wengine kitu ambacho si kweli, hao wanakufa kila siku kama watu wengine.
 
Kazi zao ni zaidi ya ajira na ujira, ni uzalendo tu sio kipato, ukienda kwa lengo LA kipato utakimbia mwenyewe , Kiusalama ni taifa kwanza MTU baadae. Wale hawana chama na itikadi yao ni Taifa kwanza. Tuwape heshima yao tusiwabeze
kwani hii kazi wanafanya bure, daktari mara ngapi anafanya kuhatarisha maisha yake kwa magojwa ya kuambukizwa kwa usalama wa wananchi

wangekuwa wanafanyia bure, wangekuwa wameacha kazi zao tungewaona wa maana tofauti na hapo wanabaki waganga njaa kama sisi tu
 
Usalama wa taifa ni watu wa kawaida tu. Hawana jambo lolote special na la kuogofya. They are just immortal like anybody else.

Tofauti pekee iliyopo na ambayo ni kama inawafanya waogopwe ni:

1. Siri ya Kazi zao.

- Hata Ku Klu Klux, Illuminati, Freemasons na secret societies nyingine wanatumia mbinu hii.

2. Wako Juu ya Sheria.

Anaweza kukufanya chochote, wakati wowote na usimpeleke popote.

Otherwise hakuna jipya lolote.
Wewe una AKILI sana. Tena hawa usalama wa mataifa ya Afrika ndio hovyo kabisa. Yaani wanatumika na wanasiasa kama TOILET PAPER au CONDOM. Wanateka na kuua wananchi wenye mawazo tofauti na mabwana zao wanasiasa. Ni aibu sana kwa kweli. Hawalindi maslahi ya umma bali wanalinda maslahi ya mabwana zao wanasiasa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Usalama wa taifa ni watu wa kawaida tu. Hawana jambo lolote special na la kuogofya. They are just immortal like anybody else.

Tofauti pekee iliyopo na ambayo ni kama inawafanya waogopwe ni:

1. Siri ya Kazi zao.

- Hata Ku Klu Klux, Illuminati, Freemasons na secret societies nyingine wanatumia mbinu hii.

2. Wako Juu ya Sheria.

Anaweza kukufanya chochote, wakati wowote na usimpeleke popote.

Otherwise hakuna jipya lolote.
Is anybody else immortal ama sijakuelewa vyema?!
Screenshot_20190116-230226.jpeg
 
Namaanisha huwa tunawafikiria kama ni watu wa kipekee sana, wakati mfano kibongo bongo wengi vilaza tu. Wanavuta mpaka bangi.
Then nchi ya Marekani ina vilaza wengi sana, kwani majimbo 10 ambayo ni Alaska, California, Colorado, Maine, Massachusetts, Michigan, Nevada, Oregon, Vermont na Washington wameharalisha matumizi ya Bangi.
 
Bangi ya Marekani ni tofauti na ya hapa kwetu.

Kuna tofauti kubwa kati ya beer na gongo.

Kuna tofauti kubwa kati ya SM sigara na sigara pure ya kusokotwa tumbaku la Tabora.
 
Mzee baba hapo kwenye kizungu unaposema wao ni immortal kama watu wengine nadhani ulikusudia kusema they are not immortal.

Ulichoandika ni kuwa hawafi kama watu wengine kitu ambacho si kweli, hao wanakufa kila siku kama watu wengine.
Typo. Nime-edit.
 
Ni rahisi kuamini hivyo kwakuwa kazi wanazofanikisha hazitangazwi, ni rahisi kuamini hivyo kwakuwa uo salama na unafurahia amani lakini hujui wanaoisababisha, Idara zetu za ulinzi na usalama ndilo jicho LA Afrika nzima na tegeo LA Umoja wa Mataifa , ukikua utaelewa.
Africa hamna usalama waTaifa bali kuna magenge ya wahuni yanayomilikiwa na wanasiasa kwa maslahi yao binafsi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kazi zao ni zaidi ya ajira na ujira, ni uzalendo tu sio kipato, ukienda kwa lengo LA kipato utakimbia mwenyewe , Kiusalama ni taifa kwanza MTU baadae. Wale hawana chama na itikadi yao ni Taifa kwanza. Tuwape heshima yao tusiwabeze
una vuta bhangi wewe, eti hawana uchana, eti wazalendo endelea na porojo zako huko huko ko hii nchi kuna familia,koo flani zina uzalendo kuliko nyingine.

huo uzalendo unapimwa vp? na walipambanishwa vp wakaonekana wao n wazalendo kuliko wengine.

ili uwe usalama ni lazima uwe ccm, tunao mtaani tunawafahamu ni watu wa vyama gani? usilete stori za kusadikika hapa.
 
Kenge wee , tena chunga adabu yako .unadhani mi ni mtoto mdogo au ? , pimbi wewe hizi identity fake zisikudanganye unaeza kuwa unaongea na mzee wako , swine wewe

Back to the topic , we popoma umeongelea ulinzi hivi ni ulinzi gani unaoongelea kwa mfano hapa Tanzania , ulinzi wa kuteka na kuua watu nackuwatupa kwenye viroba , ulinzi wa kuvamia vituo vya habari ? , ulinzi wa kupiga watu risasi mchana kweupe na watekelezaji haeajakamatwa hadi leo ? ,

Hicho kichwa chako hakina akili ?

Sent using Jamii Forums mobile app

Shkamooo uncle
 
Ni rahisi kuamini hivyo kwakuwa kazi wanazofanikisha hazitangazwi, ni rahisi kuamini hivyo kwakuwa uo salama na unafurahia amani lakini hujui wanaoisababisha, Idara zetu za ulinzi na usalama ndilo jicho LA Afrika nzima na tegeo LA Umoja wa Mataifa , ukikua utaelewa.
Mmeanza gahawa sasa

Naleta kashata [emoji50][emoji18][emoji28]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Usalama wa taifa ni watu wa kawaida tu. Hawana jambo lolote special na la kuogofya. They aren't just immortal like anybody else.

Tofauti pekee iliyopo na ambayo ni kama inawafanya waogopwe ni:

1. Siri ya Kazi zao.

- Hata Ku Klu Klux, Illuminati, Freemasons na secret societies nyingine wanatumia mbinu hii.

2. Wako Juu ya Sheria.

Anaweza kukufanya chochote, wakati wowote na usimpeleke popote.

Otherwise hakuna jipya lolote.
Wapi juu ya Sheria toka lini? Fafanua mkuu wangu.
 
Back
Top Bottom