Kwanini mapaja ya mwanamke yanavutia sana kwa wanaume?

data

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2011
Posts
26,858
Reaction score
23,768
Mabibi na Mabwana wote mko huru kuchangia katika uzi huu....

Kuachilia chura.. Ila paja la mwanamke hutumaliza sana sisi wanaume..
Vaa uwezavyo ichonge chura uwezavyo...ila Paja halina mpinzani.

Swali ni kuna nini ktk paja la mwanamke!?
Hata kama binti kachoka vipi..paja halichoki, kuna nini pale!? Nisaidieni
 
Hata kwenye kuku huoni kama wanakimbiliaga paja???
 
una picha ya kusapoti haya maelezo
 
Hio inathibitisha kwamba kuna muumbaji.. ...ambaye amempamba mwanamke.
 
Weka picha basi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…