Kwanini mapaja ya mwanamke yanavutia sana kwa wanaume?

Kwanini mapaja ya mwanamke yanavutia sana kwa wanaume?

Afu humu MMU kuna thread zina fananafanana,ni kwamba mtu anapata idea baada ya mtu kupost jambo fulani nayy akapata idea hiyohiyo au inakuwaje???
 
Huo nao ni mtazamo lakin hauna facts kwa asilimia zote.

Kwan kila mwanamme anachokitu kinachompendeza kwa mwanamke,

Kama,
Mwanya..

Dimpoz,

Macho,

Lips,

Mashavu,

Masikio,

Rangi ya ngozi,

Sura kwa ujumla n.k
 
Wanaume tunasisimka kwa kuona, wakati wanawake wanasisimka kwa hisia (ndio maana hadi umtomase ndio ashki zinaamka). Pia, Mungu ametuumba hivyo. Wanawake wanalijua hilo ndio maana huwa wanaweka mikoba mapajani wakiwa wamekaa ili kupunguza kuangaliwa sana.
 
Nenda mbali zaidi, vipange vyote vya mwanamke vinavyopagawisha wanaume, ili tujibu mada kwa mkupuo iishe.
Maana tukijibu ya paja mwingine ataibukia kwenye niples.
Sasa malizia kabisa kuzipanga tukujibu vizuri.
 
Mabibi na Mabwana wote mko huru kuchangia katika uzi huu....

Kuachilia chura.. Ila paja la mwanamke hutumaliza sana sisi wanaume..

Vaa uwezavyo ichonge chura uwezavyo...ila Paja halina mpinzani.

Swali ni kuna nini ktk paja la mwanamke!?

Hata kama binti kachoka vipi..paja halichoki, kuna nini pale!? Nisaidieni
Pale kuna sumaku.
 
Afu humu MMU kuna thread zina fananafanana,ni kwamba mtu anapata idea baada ya mtu kupost jambo fulani nayy akapata idea hiyohiyo au inakuwaje???
KWamba unafikiri hii aidia ni mpyyaa...

Baada kuota nini kimetokea..!??
 
Mweee nashukuru langu kama mguu wa juma kaseja looo!
 
Back
Top Bottom