[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hata kwenye kuku huoni kama wanakimbiliaga paja???
Yakibantu eehNadhukuru kwa kujiongeza kiakili....hapa namaanisha paja la mwanamke wa kiafrika.. Thanks..
Wanaume munaitwa huku
cc: kisu cha ngariba
Galapagosi
Joseverest
Barbr......
......
......
.....
Wanaumeee
Mukuje mujibu hutu tuswali!?;
Enhe tuendeleee....mfano.......?????[emoji780] [emoji780] [emoji780]Kweli kabisa mfano....
Tena wanafurahi ukiwaambia utawapa dunia yote sasa sijui waliomo wataenda wapi.Elewa mwanaume huvutika kwa mwanamke kwa kuona, wakati ni tofauti kwa mwanamke ambae yeye ni kwa kusikia, hususani mambo mazuri ayatamkayo mwanaume.
Enhe tuendeleee....mfano.......?????[emoji780] [emoji780] [emoji780]
Ooooh! asante umefungua ufahamuElewa mwanaume huvutika kwa mwanamke kwa kuona, wakati ni tofauti kwa mwanamke ambae yeye ni kwa kusikia, hususani mambo mazuri ayatamkayo mwanaume.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hata kwenye kuku huoni kama wanakimbiliaga paja???
[emoji64] [emoji72] [emoji72] [emoji72]Mfano ukiona lazima uvutiwe.
[emoji64] [emoji72] [emoji72] [emoji72]