Kwanini mapaja ya mwanamke yanavutia sana kwa wanaume?

Watu wengi wameomba picha.... Subirini niamke...
Ndo nalala.
 
Wanaume mna matatizo, mbona paja ni sehemu ya kawaida tu ya mwili wa binadamu. Kwa nini munayafanya mapaja kuwa issue kubwa???!!!
 
Akili yako tu ..... we utavutiwa vp na pana la ruby au vanesa mdee.....?
 
Nadhukuru kwa kujiongeza kiakili....hapa namaanisha paja la mwanamke wa kiafrika.. Thanks..
Mapenzi ya mwanaume yapo nje yaani akiona mapaja sura kwa kutaja machache,ila kwa mwanamke mapenzi yake yapo ndani ya moyo hivyo lazima asikie adigest akijitoa kwako anajitoa kweli tofauti na wanaume akishapewa tamaa yake inahamia kwa mwingine...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…