Kwanini Maporomoko ya Kalambo yanatajwa kuwa maajabu ya Afrika yaliyoficha zama za Binadamu?

Kwanini Maporomoko ya Kalambo yanatajwa kuwa maajabu ya Afrika yaliyoficha zama za Binadamu?

Kalambo
1675021092493.png
 
Mbala, Zambia

Zambia | Kalambo Falls - Daytrip from Mbala

The Kalambo Falls on the Kalambo River is a 235 m single-drop waterfall on the border of Zambia & Tanzania It's one of the tallest uninterrupted falls in Africa. Downstream of the falls is the Kalambo Gorge, which has a width of about 1 km and a depth of up to 300 m, running for about 5 km before opening out into the Lake Tanganyika rift valley. (Description from Wikipedia)

I stayed at Chila Lodge in Mbala and made daytrip to the falls. You can also stay at the great Kalambo Lodge which is right next to the falls

Source : Diesel81
 
Wangefanya kama Victoria fall hapo wangepata watalii wengi,pako poa, nilikua siyajui nimeona leo TZ safari channel!
 
Utalii wa Ndani Rukwa Sumbawanga Tanzania kuona Kalambo Falls upande wa pili nchini Zambia

 
Ni mkoa gani? Unafikaje?
Yanapatikana katika mkoa wa Rukwa, Wilaya ya Kalambo.

Panda magari mpaka mji wa Sumbawanga, then utapanda magari yaendayo Kasanga Port.... Utashukia kijiji kiitwacho Ngorotwa... Hapo utapanda magari yaendayo Kapozwa.... Hapo Kapozwa ndiyo kuna hayo Maporomoko.....
 
Back
Top Bottom