Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Si useme tu kama Mikia FC, a.k.a kulia lia FC.... Kwani nani hajui!Man u ni kama timu fulan Tanzania
Wakija mi sikusaiidii maana hawa jamaa wanajua kuongea[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Si useme tu kama Mikia FC, a.k.a kulia lia FC.... Kwani nani hajui!
Man u tangu miaka hiyooo, zile dk zilikuwa zikiitwa "dk za Fagason..."
Kwahiyo ndio zao..
Hivi Leo si imefungwa zimefika hizo 100?Inakuwa kweli ni dk za majeruhi ama labda ni mbinu za waamuzi kutaka timu ' yao ' ichomoe ?
Haiwezekani timu moja kila ikifungwa dk za majeruhi ziwe kibao ! Hapa kuna walakini .
Rudia kuangalia vizuri .Kwani leo si zimeongezwa dakika 3 tu ama ?
Simba haihusiki na hizo njama zenu .Wakija mi sikusaiidii maana hawa jamaa wanajua kuongea[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Sijasema Simba, nimesema mikia FC.... Huo ni uchochezi, mie simo!Simba haihusiki na hizo njama zenu .
Kwenye mpira 1+2 jibu linaweza kuwa lolote zaidi ya kuwa 3 kama hitaji la arithmetic iliyoko hapo juu linavyotaka.kama man u inafungwa na timu iliyopanda daraja,Je ikikutana na timu ya vikombe vyote ulaya aka MAN CITY itakuwaje?
Timu za namna hiyo ziko kila ligi, sasa sijui ni waamuzi wanakuwa wamebet au la. Iliniuma sana kwa Mtibwa 'kuporwa' ushindi dakika za mwamuzi wiki iliyopita.
Inakuwa kweli ni dk za majeruhi ama labda ni mbinu za waamuzi kutaka timu ' yao ' ichomoe ?