Kwanini mara zote MAN UNITED ikifungwa game inaenda mpaka Dk 100 ?

Kwanini mara zote MAN UNITED ikifungwa game inaenda mpaka Dk 100 ?

Inakuwa kweli ni dk za majeruhi ama labda ni mbinu za waamuzi kutaka timu ' yao ' ichomoe ?

Haiwezekani timu moja kila ikifungwa dk za majeruhi ziwe kibao ! Hapa kuna walakini .
Mawazo ya ajabu kweli!
Hizo dakika 100,hizo timu pinzani, haziwahusu?
 
Back
Top Bottom