Kwanini marafiki wa DRC wanashindwa kuisaidia silaha za kisasa kupambana na adui zake?

Kwanini marafiki wa DRC wanashindwa kuisaidia silaha za kisasa kupambana na adui zake?

Mr Chromium

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2020
Posts
2,761
Reaction score
3,835
Habari,

Kiukweli bado nashindwa kuelewa nchi marafiki wa DRC? Ni nchi gani za kibeberu, Asia, au zilizoendelea ambazo ni marafiki wa DRC? Nadhani hazipo kama zipo pasi imapact yake ndogo.

Aidha diplomasia ya DRC katka kutafuta marafiki wa faida ni ndogo. Ikiwa ni nchi iliyogubikwa na majangili vikundi vya uasi, vikundi vya kigaidi basi inahitaj techmologia kubwa sana hasa kwene intellegencia na silaha za kisasa kuweza kuwaondoa adui zake!! lakin matokeo yake imekua ikichezewa kama Mlemavu pamoja na utajiri wote ambao inaweza kuingia makubaliano ya kibiashara na ushirikiano na nchi kubwa!

Kwa upande mwingine Rwanda na Uganda zinaongoza kua na marafiki wa faida!! Rwanda inatumia vifaa vya kisasa kabisa kivita! si rahisi kuichezea hii nchi na uganda ambayo imejiweka karibu na nchi kama Israel, US, Uk na zinginezo!!

kuna wakati PK na mseveni ni maraisi pekee EA waliopata program ya PEGASUS!!Hii iliwawezesha kuwa hack maadui zao! kabla haijafungwa na Israel ( soma kuhusu hizi hackers mtandaoni)

Pk wa rwanda (rumors) alishamfuata had Putini kutaka Air defence system S-400 ambazo kwa dunia hii walionazo n wachache ikiwemo india.

Yaani nchi zenye amani ndo zinahangaika hazilali alaf nchi yenye vita na uporwaji ndo zinahangaika!

Narudia tena nchi marafiki wa DRC ni kina nani?
 
Back
Top Bottom