Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ningependa tu hii comment ifunge huu uzi/mjadalaInatutufindisha si kila kitu wanacholeta wazungu kinatufaa, na sisi ni binadamu kama wao wenye fikra na maamuzi sahihi.
Kwahiyo ulikuwa unauliza kitu ambacho una solution yake? Acha unaa weweWengi naona mmeruka ruka tu hapa , wazo Lanngu ni kwamba tuwe na knowledge purity , kigezo cha mtu kuandika kitabu na kikawa published ni level ya uelewa wa daraja lingine , naona katiba irekebishwe ili mtu awe raisi lazima awe amepublish vitabu viwili itasaidia kuwa na marais critical thinkers ,
Sent from my SM-G531H using JamiiForums mobile app
Wewe ndiye unarukaruka.Wengi naona mmeruka ruka tu hapa , wazo Lanngu ni kwamba tuwe na knowledge purity , kigezo cha mtu kuandika kitabu na kikawa published ni level ya uelewa wa daraja lingine , naona katiba irekebishwe ili mtu awe raisi lazima awe amepublish vitabu viwili itasaidia kuwa na marais critical thinkers ,
Sent from my SM-G531H using JamiiForums mobile app
Marekani kuandika kitabu ni sehemu ya kampeni za urais, kama vile unaziweka sera zako kwenye kitabu ili watu wazisome wakujue kabla ya kukuchagua.Kwanini Marais wa Tanzania [emoji1241] huandika vitabu mara tu baada ya kustaafu, tofauti na Maraisi wa Marekani ambao huandika Vitabu kabla ya kuukwaa Uraisi. Hii picha inakufundisha nini?