BAKWATA oriented muslim ndiye anatakiwa hapo,ukiwa unatoka kwenye ile stream inayopinga BAKWATA unaondolewa,the same applies to the second side ukiwa siyo mkatoliki jina lako lazima lienguliwe,mfano mzuri ni ule uchaguzi ambao ulimpelekea Hayati JPM kuwa raisi,nguvu kubwa sana ilitumika kumpiga chini Edward Lowasa,sababu ya kumuondoa kwenye kinyang'anyiro ilikuwa ni dhehebu lake yeye si mkatoliki.Lwa wakristo ni Wakatoliki tu, manake Pentekoste, Lutheran etc hawana nafasi. Je kwa waislam ni denom gani inapewa hiyo nafasi?
Sahau kuhusu hilo,unadhani kwanini baada ya serikali kuhamishia makao makuu Dodoma,kanisa katoloki nalo likahamishia makao makuu Dodoma?Ila kwa ninayi yaona huku jikoni,Rais wa awamu ya 7 wakristo wengine nje ya wakatoliki wanaenda kukumbukwa.
Na Waislam kwa nini ni Sunni peke yao? Sasa hivi tuwape Ahmadiya au Shiatangu nchi ipate Uhuru kutoka kwa Muingereza 1961 tumekuwa na marais 6; Mwl. Nyerere (Mkatoliki), Rais Mwinyi (Muislam), Rais Mkapa (Mkatoliki), Rais Kikwete (muislam), Rais Magufuli (Makatoliki) na Rais Samia (Muislamu). Hii inatokea kwa bahati mbaya tu au inapangwa, na kama ni kwa bahati mbaya tu hiyo bahati mbaya itaondokaje na kama inapangwa ni nani anapanga na kwanini?.
Haya madhebu mengine ya kikristo yana shida gani?
Sasa mbona Mwigulu anapasha viungo?BAKWATA oriented muslim ndiye anatakiwa hapo,ukiwa unatoka kwenye ile stream inayopinga BAKWATA unaondolewa,the same applies to the second side ukiwa siyo mkatoliki jina lako lazima lienguliwe,mfano mzuri ni ule uchaguzi ambao ulimpelekea Hayati JPM kuwa raisi,nguvu kubwa sana ilitumika kumpiga chini Edward Lowasa,sababu ya kumuondoa kwenye kinyang'anyiro ilikuwa ni dhehebu lake yeye si mkatoliki.
Lowasa na Kikwete walishazinguana siku nyingi,kilichopelekea Magufuli kuingia 2015 ilikua bifu kati yake na Kikwete na si vinginevyo.BAKWATA oriented muslim ndiye anatakiwa hapo,ukiwa unatoka kwenye ile stream inayopinga BAKWATA unaondolewa,the same applies to the second side ukiwa siyo mkatoliki jina lako lazima lienguliwe,mfano mzuri ni ule uchaguzi ambao ulimpelekea Hayati JPM kuwa raisi,nguvu kubwa sana ilitumika kumpiga chini Edward Lowasa,sababu ya kumuondoa kwenye kinyang'anyiro ilikuwa ni dhehebu lake yeye si mkatoliki.
Hakuna MoU yoyote hiyo inajitokeza tu hizi nyingine ni dhahania tu. Hebu tuongelee kwa wakati huu baada ya Mh: Samia kumaliza muda wake tuanze kuangazia kwa sasa ni wanasiasa gani wana nguvu ya kufikiliwa tuangalie na imani zao kuna jambo tunaweza kujifunza.Kuna mlutheri mmoja amekuwa akifurukuta kuutaka urais huenda kuna nyakati kasumba ya wakatoliki na waislam kuwa marais pekee ikaondoka. Labda kuna MoU kati ya wakatoliki na waislam waachiane wenyewe tu urais kwa nyakati zote ila haileti picha nzuri