Kwanini Marais wa Tanzania ni Waislamu na Wakatoliki tu?

Kwanini Marais wa Tanzania ni Waislamu na Wakatoliki tu?

Status
Not open for further replies.
Sahau kuhusu hilo,unadhani kwanini baada ya serikali kuhamishia makao makuu Dodoma,kanisa katoloki nalo likahamishia makao makuu Dodoma?
Ya kweli haya? Kwa hiyo zile ofisi Kurasini zimehamishiwa Dodoma??z
 
HAKUNA MUISLAMU ASIYEJUA PADRE WA ROMAN WARAQA BIN NAWFAI NDIYE ALIYEMPA MOHAMED UTUME.

Waraqa bin Nawfal ni mtu ambaye alikuwa na ujuzi wa dini ya Kikristo PADRE WA ROMAN.
alikuwa ni binamu wa mkewe Khadija bint Khuwaylid, ambaye alikuwa mke wa kwanza wa Mtume Muhammad (S.A.W).

Kuna riwaya ambazo zinasema kwamba Waraqa alitabiri kuja kwa Mtume Muhammad (S.A.W) kabla ya kuanza kwa utume wake, na alimsaidia sana katika kuanzisha Uislamu.

Waraqa alikuwa na maarifa ya Biblia na Injili, na inajulikana kuwa alikuwa amejiweka katika sehemu za kupata maarifa hayo katika enzi zake. Baadhi ya riwaya zinasema kuwa Waraqa alisoma maneno ya kwanza ya Suratul-Alaq ambayo yaliteremshwa kwa Mtume Muhammad (S.A.W) katika Pango la Hira.

Waraqa alikuwa mmoja wa watu wa kwanza kusilimu, na inasemekana kuwa alikuwa ameshaandika baadhi ya vitabu ambavyo vilikuwa vinaashiria kuja kwa Mtume Muhammad (S.A.W). Hata hivyo, Waraqa alifariki kabla ya kuanza kwa utume wa Mtume Muhammad (S.A.W) na hivyo hakuwa mmoja wa Masahaba wake wa karibu.
 
IMG-20230821-WA0146.jpg
Na huyo Muislam lazima aitii mamlaka dunia ndivyo ilivyo
 
Rudia swali lako waislam nawakatoliki nini. Kwamaana hapo waislam hapo wapo lakini unamaanisha wakiristo hawapo Ila kunawakatoliki hapo sijajuwa wakatoliki umewaweka katika upagani au dini gani fafanua nakuja kukujibu
Tangu nchi ipate Uhuru kutoka kwa Muingereza 1961 tumekuwa na marais 6; Mwl. Nyerere (Mkatoliki), Rais Mwinyi (Muislam), Rais Mkapa (Mkatoliki), Rais Kikwete (Muislam), Rais Magufuli (Makatoliki) na Rais Samia (Muislamu).

Hii inatokea kwa bahati mbaya tu au inapangwa, na kama ni kwa bahati mbaya tu hiyo bahati mbaya itaondokaje na kama inapangwa ni nani anapanga na kwanini?

Haya madhebu mengine ya Kikristo yana shida gani?
a
 
Si kweli kwamba WARAQA BIN NAWFAI NDIYE ALIYEMPA MOHAMED UTUME.
Allah (S.W) ndioie aliyempa utume MTUME MUHAMMAD
Kuran: 48:8 Hakika tumekutuma wewe uwe Shahidi, na Mbashiri, na Mwonyaji,
kuran 25:56 Nasi hatukukutuma ila kuwa ni Mbashiri na Mwonyaji
 
Rudia swali lako waislam nawakatoliki nini. Kwamaana hapo waislam hapo wapo lakini unamaanisha wakiristo hawapo Ila kunawakatoliki hapo sijajuwa wakatoliki umewaweka katika upagani au dini gani fafanua nakuja kukujibu

a
Una lengo la kusema wakatoliki wamepewa jukumu la kuwawakilisha wakristo wote pale Ikulu, au unataka kusemaje, wengine hawana akili?
 
Kwani wewe unatakaje? Kinachokusumbua ni nini? Dini ya Rais ndio inafanya vitu vinapanda bei na kushuka? Dini ya Rais ndio inafanya watu wakose Ajira? Dini ya Rais ndio inaongeza ugumu wa Maisha?

Hoji vitu vyenye mantiki katika utawala wa kiongozi, acha kuona dini au kabila kwenye kila kitu. Mtu anateuliwa badala um.judge kutokana na anachokifanya unahangaika kujua dini yake ili ikusaidie nini?

Sema bado hujachelewa, unaweza tu kujitafutia nchi unayoona inaviongozi wa dhehebu unalotaka wewe, Kengemaji!
 
BAKWATA oriented muslim ndiye anatakiwa hapo,ukiwa unatoka kwenye ile stream inayopinga BAKWATA unaondolewa,the same applies to the second side ukiwa siyo mkatoliki jina lako lazima lienguliwe,mfano mzuri ni ule uchaguzi ambao ulimpelekea Hayati JPM kuwa raisi,nguvu kubwa sana ilitumika kumpiga chini Edward Lowasa,sababu ya kumuondoa kwenye kinyang'anyiro ilikuwa ni dhehebu lake yeye si mkatoliki.
Kuna watu wanasema tuna mfumo kristo Tanzania but I think we are not, ila tuna mfumo wa kikatoliki.

Sasa ajabu ni nini ujue? nchi yetu haijawahi kutawaliwa na warumi! sisi tumetawaliwa na Uingereza ambao ni Anglican, pia tumetawaliwa na Germany ambo ni Lutheran, sasa hii influence ya ukatoliki imetoka wapi???

Ooh nilisahau, raisi wetu wa kwanza alikuwa dhehebu gani vile? Not sure but was it true that Vatican considered declaring him as a saint Nyerere?
 
Basi kuanzia awamu ijayo itakua waislam na Waloke anafata muislam akitoka wanaingia mashahidi wa yehova
 
Una lengo la kusema wakatoliki wamepewa jukumu la kuwawakilisha wakristo wote pale Ikulu, au unataka kusemaje, wengine hawana akili?
Swali ulilouliza kwanini wakatoliki na waislam ndio wanakuwa marais ndio Mimi nikaomba ufafanue lakini umeshidwa kufafanua au swali lako ulitaka kuuliza kwanini wakatoliki na wasuni ndio wanatoa marais tu hapa nchini? Kamaswali lako lilitakiwa kuuliza hivyo ndio nitachangia waislam pia kuna madhehebu mengi
 
Tangu nchi ipate Uhuru kutoka kwa Muingereza 1961 tumekuwa na marais 6; Mwl. Nyerere (Mkatoliki), Rais Mwinyi (Muislam), Rais Mkapa (Mkatoliki), Rais Kikwete (Muislam), Rais Magufuli (Makatoliki) na Rais Samia (Muislamu).

Hii inatokea kwa bahati mbaya tu au inapangwa, na kama ni kwa bahati mbaya tu hiyo bahati mbaya itaondokaje na kama inapangwa ni nani anapanga na kwanini?

Haya madhebu mengine ya Kikristo yana shida gani?
Akitoka samia tunampa Mkkt kwanza ni wanyenyekevu hawana majivuno na wakatili kama wakatolik
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom