Kwanini Marais wa Tanzania ni Waislamu na Wakatoliki tu?

Status
Not open for further replies.
Sahau kuhusu hilo,unadhani kwanini baada ya serikali kuhamishia makao makuu Dodoma,kanisa katoloki nalo likahamishia makao makuu Dodoma?
Ya kweli haya? Kwa hiyo zile ofisi Kurasini zimehamishiwa Dodoma??z
 
 
Rudia swali lako waislam nawakatoliki nini. Kwamaana hapo waislam hapo wapo lakini unamaanisha wakiristo hawapo Ila kunawakatoliki hapo sijajuwa wakatoliki umewaweka katika upagani au dini gani fafanua nakuja kukujibu
a
 
Si kweli kwamba WARAQA BIN NAWFAI NDIYE ALIYEMPA MOHAMED UTUME.
Allah (S.W) ndioie aliyempa utume MTUME MUHAMMAD
Kuran: 48:8 Hakika tumekutuma wewe uwe Shahidi, na Mbashiri, na Mwonyaji,
kuran 25:56 Nasi hatukukutuma ila kuwa ni Mbashiri na Mwonyaji
 
Rudia swali lako waislam nawakatoliki nini. Kwamaana hapo waislam hapo wapo lakini unamaanisha wakiristo hawapo Ila kunawakatoliki hapo sijajuwa wakatoliki umewaweka katika upagani au dini gani fafanua nakuja kukujibu

a
Una lengo la kusema wakatoliki wamepewa jukumu la kuwawakilisha wakristo wote pale Ikulu, au unataka kusemaje, wengine hawana akili?
 
Kwani wewe unatakaje? Kinachokusumbua ni nini? Dini ya Rais ndio inafanya vitu vinapanda bei na kushuka? Dini ya Rais ndio inafanya watu wakose Ajira? Dini ya Rais ndio inaongeza ugumu wa Maisha?

Hoji vitu vyenye mantiki katika utawala wa kiongozi, acha kuona dini au kabila kwenye kila kitu. Mtu anateuliwa badala um.judge kutokana na anachokifanya unahangaika kujua dini yake ili ikusaidie nini?

Sema bado hujachelewa, unaweza tu kujitafutia nchi unayoona inaviongozi wa dhehebu unalotaka wewe, Kengemaji!
 
Kuna watu wanasema tuna mfumo kristo Tanzania but I think we are not, ila tuna mfumo wa kikatoliki.

Sasa ajabu ni nini ujue? nchi yetu haijawahi kutawaliwa na warumi! sisi tumetawaliwa na Uingereza ambao ni Anglican, pia tumetawaliwa na Germany ambo ni Lutheran, sasa hii influence ya ukatoliki imetoka wapi???

Ooh nilisahau, raisi wetu wa kwanza alikuwa dhehebu gani vile? Not sure but was it true that Vatican considered declaring him as a saint Nyerere?
 
Basi kuanzia awamu ijayo itakua waislam na Waloke anafata muislam akitoka wanaingia mashahidi wa yehova
 
Una lengo la kusema wakatoliki wamepewa jukumu la kuwawakilisha wakristo wote pale Ikulu, au unataka kusemaje, wengine hawana akili?
Swali ulilouliza kwanini wakatoliki na waislam ndio wanakuwa marais ndio Mimi nikaomba ufafanue lakini umeshidwa kufafanua au swali lako ulitaka kuuliza kwanini wakatoliki na wasuni ndio wanatoa marais tu hapa nchini? Kamaswali lako lilitakiwa kuuliza hivyo ndio nitachangia waislam pia kuna madhehebu mengi
 
Akitoka samia tunampa Mkkt kwanza ni wanyenyekevu hawana majivuno na wakatili kama wakatolik
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…