Kwanini Marehemu Faustine Ndugulile alienda kusoma sheria (LL.B), wakati tayari alikuwa ni Daktari (MD)?

Congressman

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2020
Posts
781
Reaction score
2,305
Habari Wakuu!

Katika mapitio yangu ya CV za watu mashahuri Nchini, Week kadhaa nyuma nilipata wasaa wa kupitia CV ya the Late Hon. Faustine Ndugulile, aliyekuwa Mbunge wa Kigamboni na Mkurugenzi mteule wa WHO kanda ya Africa.

Hivyo swali langu nilitamani kufahamu umuhimu wa MD kusomea degree ya sheria ilihali tayari yeye ni specialist kwenye Afya.

IMG_6124.png
 
Ivi watu sijui mnawazaje ,yaani shida yetu tunajua kuwa mke navyowaza na wewe unawaza ivyo ivyo.
Yaani kwenye FIkra,mawazo,akili yaani humo ndani kichwani mwetu namna ya algos zinavyo run ziko tofauti Kama hata kwa nje tunavyotofuatiana.

Mbona mtu anaoa wake watano ama kumi

Huyu anafungua hardware wakati tayAri anayo vinywaji

Huyu anakunywa konyagi wakati tayAri anakunywa bia.

Huyu anafuga kuku wakati tayAri anao ng'ombe wengi mno.
Huyu ananua Coaster wakati anayo mabasi mengi .
Huyu anatengeneza Azam pesa na wakati anauza chapati na barafu.

We're only living within our own mindset, mind frame or mental fram structures.

Yaani your own mind is only limitation.
Ukiacha mind yako ikufunge uwe gerezani basi utakuwa gerezani
 
Habari Wakuu!

Katika mapitio yangu ya CV za watu mashahuri Nchini, Week kadhaa nyuma nilipata wasaa wa kupitia CV ya the Late Hon. Faustine Ndugulile, aliyekuwa Mbunge wa Kigamboni na Mkurugenzi mteule wa WHO kanda ya Africa.

Hivyo swali langu nilitamani kufahamu umuhimu wa MD kusomea degree ya sheria ilihali tayari yeye ni specialist kwenye Afya.

View attachment 3176412
He knew what he wanted and chose his path

Focus on your path dogo
 
Habari Wakuu!

Katika mapitio yangu ya CV za watu mashahuri Nchini, Week kadhaa nyuma nilipata wasaa wa kupitia CV ya the Late Hon. Faustine Ndugulile, aliyekuwa Mbunge wa Kigamboni na Mkurugenzi mteule wa WHO kanda ya Africa.

Hivyo swali langu nilitamani kufahamu umuhimu wa MD kusomea degree ya sheria ilihali tayari yeye ni specialist kwenye Afya.

View attachment 3176412
Eti naye huyu ni GT katika JF!
Aibu tupu.
 
Jery silaa pia baada ya kumaliza degree ya engineering udsm

Alienda kusoma degree ya sheria open university.

Ukienda kwenye kampuni za ukaguzi wa hesabu.. utakutana na mamia ya wahasibu wenye CPA ambao wamesoma degree za sheria pia
 
Habari Wakuu!

Katika mapitio yangu ya CV za watu mashahuri Nchini, Week kadhaa nyuma nilipata wasaa wa kupitia CV ya the Late Hon. Faustine Ndugulile, aliyekuwa Mbunge wa Kigamboni na Mkurugenzi mteule wa WHO kanda ya Africa.

Hivyo swali langu nilitamani kufahamu umuhimu wa MD kusomea degree ya sheria ilihali tayari yeye ni specialist kwenye Afya.

View attachment 3176412
Ni kawaida tu yeye ikumbukwe pia ni mwanasiasa na bungeni huwa miswada mingi inahusisha mambo ya sheria.siku hizi engineers wengi wamesoma kozi tofauti sana
 
Habari Wakuu!

Katika mapitio yangu ya CV za watu mashahuri Nchini, Week kadhaa nyuma nilipata wasaa wa kupitia CV ya the Late Hon. Faustine Ndugulile, aliyekuwa Mbunge wa Kigamboni na Mkurugenzi mteule wa WHO kanda ya Africa.

Hivyo swali langu nilitamani kufahamu umuhimu wa MD kusomea degree ya sheria ilihali tayari yeye ni specialist kwenye Afya.

View attachment 3176412
Kuongeza ufahamu kwenye kazi zake za kisiasa/kibunge
 
Kuna maswala mengine ya kijinga sana mnaleta humu,sasa yeye aliyesoma hiyo LLB alishakufa na ndiye mwenyekujua kwanini alisona LLB ,unatuuliza sisi tukujibu nini mfuate ahera akueleze kwanini alisona LLB na uache ujinga wa kuuliza maswalo ya kijinga kama hili
 
Back
Top Bottom