It would have been easier kusema umesoma business studies.
Hapo utasoma modules za business law, maswala ya busuness formation. Legal implications za sole trader, partnership, corporates (limited and unlimited companies).
Utasoma Tort, utasoma contract law na aspects za accounting; hizo ni kwa ajili ya management. Uwezi soma mambo ya insurance kwenye business studies (that’s pure finance).
Ukitaka kuwa mwanasheria; utasoma LLM kujua principles za sheria.
Lakini LLM aikufanyi kuwa mwanasheria, unahitaji kufuata processes zingine za kazi na professional qualification ili uwe mwanasheria (walau kwa taratibu za kijijini kwetu). Hata ukiitimu utakuwa specialised kwenye maswala ya biashara tu.