Again unaangalia mambo kwa perception yako na huenda kwako wewe utaona kwamba kwa mdau kufanya jambo halina tija ila kwake yeye likawa na tija (sasa ukitaka afanye akufurahishe wewe nadhani atakuwa mtu miserable sana)
Sasa ulitaka vitoke wapi wakati nimevitoa mimi ? Ila I was wise enough na kusema kuanzia mwanzo kwamba watu wapo tofauti na motive tofauti kwahio navyotoa kichwani mwangi vitapelekea kufanya mambo ambayo kwangu mimi naona yanafaa hata kama kwa mengine anaona hayafai... Na unless nimepewa pesa ya kijiji ili niende nikachukue ujuzi fulani kuja kuwasaidia hakuna mwenye moral ground ya kuniambia ninachofanya nimekosea..., Ingawa huenda kuwepo kwangu kwenye jopo la watunga Sheria hakuna ubaya wa kuwa na basics za sheria..., na sababu nina basics na naweza kupata cheti (making it official) basi kama nikikipata na sistahili kukipata ni kosa la walionipa (na that will be another topic altogether)
Naam sijui wala sihitaji kujua ili kufahamu kwamba watu wana motive tofauti ya kupata chochote na so long as wanakidhi motive zao who are we to say otherwise ? The only argument you can make ni labda kama walikuwa hawakidhi majukumu yao in their pursuit... (be it a hobby or otherwise)
Again don't need to know ili kufahamu haki ya mtu kufanya lolote analotaka no matter linaonekana vipi kwa yoyote hata kwa jamii kwa ujumla..., might be a waste getting a skill and not utilizing it fully (especially katika jamii inayohitaji wataalamu walioiva) lakini kufanya maisha kuwa rahisi na kwa muhusika ni kufanya analopenda na analotaka and if it happens to help others fair enough...
Fundamentals za kwamba kwanini mtu anafanya anachotaka kwa utashi wake ? Talking about complicating life...; Unajuaje kama kwake muhusika faida ya kupata hicho cheti sio kutundika kwenye ofisi yake ya Mbunge na watu kuona kwamba anajua Sheria ? (Be it hajui au anajua)?
Wewe vyako vinatoka wapi ukizingatia hapa tunaongelea utashi wa mtu na sio a formula au a given rule or law ? Wewe unayeongelea vitu kutoka unapovitoa nionyeshe wapi kuna Sheria / Katazo la mtu akiwa na MD hawezi kuchukua LLB au lolote lile analotaka ?
Alikwambia anataka kusoma hizo au huu uzi unahusu legal prowess ya muhusika au swali ni kwanini alifanya alichofanya nadhani ungekuwa sahihi kama muhusika asingeongelewa na ungefungua UZI wa merits au lack of za kusoma / kuunganisha baadhi ya degree ningekuelewa.., Sababu ukishaweka variable ya muhusika (people have different motives) the whole equation changes...
Achana na degree au cheti cha aina yoyote kuna ma bush lawyer wala hawajawahi kuingia shule formally (sasa unaweza ukaquestion legality ya hilo jambo, ingawa on that same token huyu jamaa according to those same laws in holder wa certificate ya LLB) sasa na sababu swali ni kwanini alifanya hivyo na kuna sababu lukuki hata kama ni personal pride nadhani kuendelea kwenda huko... itakuwa going through a rabbit hole...
Again nikisema upo Off Topic takuwa nimekutetea Uzi wenyewe unasema Kwanini mtu alifanya alichofanya alafu wewe unaongelea vitu mtu anasoma (anajifunza).., sasa unajuaje kama alichotaka kukisoma hakipo hapo aliposoma ? Sababu kama hakipo na hakina faida (faida being subjective) basi ni kosa la waliomtunuku na sio aliyesoma...
Kama nilivyokwambia acha kuongelea mambo usiyo na ufahamu nayo.
Msingi wa taasisi ni mission na objectives zake.
Afya objectives zake ni researched work (.it’s evidence based) kuanzia kwenye social policies, medical interventions and management.
Hiyo shughuli ya kupanga objectives kwa WHO ina wataalamu wao wa kila aina (mtihani kwako ni wataalamu wa fani ngapi).
Unadhani mkurugenzi wa WHO duniani anajiongelea tu bila ya wataalamu nyuma yake ni wazungu.
Ukitaka kujua hayo mambo zaidi elewa msingi wa sera za afya developed nations ambazo 80% ni from WHO directives na sehemu kubwa ya hao researchers wanaopendekeza hizo objectives ni wazungu.
Shida yenu ni kudhani mnaweza kujiandikia mambo kutoka vichwani; ni mfumo mmbaya sana wa elimu. Halafu unakuta mtu hana uelewa nacho lakini yupo tayari kubisha. Sector ambayo hana uelewa nayo kabisa ambayo logical reasoning yeye anatoa vitu kutoka kichwani kwake.
Kwahio unajua muhusika alichochagua na motive yake ya kuchagua ? Au unataka kusema unafahamu matakwa ya muhusika kuliko muhusika
Kwahio muhusika hakuhitaji kufahamu hizo legal arguments
Alikwambia anataka kusoma hizo au huu uzi unahusu legal prowess ya muhusika au swali ni kwanini alifanya alichofanya nadhani ungekuwa sahihi kama muhusika asingeongelewa na ungefungua UZI wa merits au lack of za kusoma / kuunganisha baadhi ya degree ningekuelewa.., Sababu ukishaweka variable ya muhusika (people have different motives) the whole equation changes...
Achana na degree au cheti cha aina yoyote kuna ma bush lawyer wala hawajawahi kuingia shule formally (sasa unaweza ukaquestion legality ya hilo jambo, ingawa on that same token huyu jamaa according to those same laws in holder wa certificate ya LLB) sasa na sababu swali ni kwanini alifanya hivyo na kuna sababu lukuki hata kama ni personal pride nadhani kuendelea kwenda huko... itakuwa going through a rabbit hole...
Again nikisema upo Off Topic takuwa nimekutetea Uzi wenyewe unasema Kwanini mtu alifanya alichofanya alafu wewe unaongelea vitu mtu anasoma..., sasa unajuaje kama alichotaka kukisoma hakipo hapo aliposoma ? Sababu kama hakipo na hakina faida (faida being subjective) basi ni kosa la waliomtunuku na sio aliyesoma...
Hii ndio definition ya Vioja..., Kwahio na Huyu aliyesoma hii field hadi kutunukiwa hicho cheti (hajui masuala ya alichokuwa anasoma) ? Na hata kama hajui ni mbumbumbu je Wewe ndio unajua zaidi motive yake kwanini alisoma ? Sababu mimi third party tangia nimeanza kuchangia huu uzi nimekuwa nikiorodhesha what might be valid reasons...
Tusipende kuwapangia watu maisha..., Na ni kosa kuangalia maisha ya watu through your own perception....
Hii ndio definition ya Vioja..., Kwahio na Huyu aliyesoma hii field hadi kutunukiwa hicho cheti (hajui masuala ya alichokuwa anasoma) ? Na hata kama hajui ni mbumbumbu je Wewe ndio unajua zaidi motive yake kwanini alisoma ? Sababu mimi third party tangia nimeanza kuchangia huu uzi nimekuwa nikiorodhesha what might be valid reasons...
Tusipende kuwapangia watu maisha..., Na ni kosa kuangalia maisha ya watu through your own perception....
Kama nilivyokwambia acha kuongelea mambo usiyo na ufahamu nayo.
Msingi wa taasisi ni mission na objectives zake.
Afya objectives zake ni researched work (.it’s evidence based) kuanzia kwenye social policies, medical interventions and management.
Hiyo shughuli ya kupanga objectives kwa WHO ina wataalamu wao wa kila aina (mtihani kwako ni wataalamu wa fani ngapi).
Unadhani mkurugenzi wa WHO duniani anajiongelea tu bila ya wataalamu nyuma yake ni wazungu.
Ukitaka kujua hayo mambo zaidi elewa msingi wa sera za afya developed nations ambazo 80% ni from WHO directives na sehemu kubwa ya hao researchers wanaopendekeza hizo objectives ni wazungu.
Shida yenu ni kudhani mnaweza kujiandikia mambo kutoka vichwani; ni mfumo mmbaya sana wa elimu. Halafu unakuta mtu hana uelewa nacho lakini yupo tayari kubisha. Sector ambayo hana uelewa nayo kabisa ambayo logical reasoning yeye anatoa vitu kutoka kichwani kwake.
Inaonekana kama una hasira na dunia ya wazungu halafu una self hate kwa weusi tu.
Hutaki Waafrika wasome na kushindana kwenye taasisi za kimataifa kwa sababu ni za wazungu?
Is this your point?
Maana mimi nasimamia point kwamba regardless ya nani ana control WHO, Waafrika wanatakiwa kusoma na kuchangia maendeleo ya dunia na kushindana kwenye taasisi za kimataifa.
Na siishii kwenye mkurugenzi tu, mpaka kwenye wataalamu huko Waafrika wanahitaji kujiongeza. Ukiangalia Nobel za Sayansi Waafrika hatumo, kwa nini? Tunatakiwa kujiongeza. Na kujiongeza ni kusoma. Kuongeza R&D, investment kwenye science and tech, kubadiki tamaduni za kijinga etc.
Tuongeze watu kuanzia wataalamu mpaka ma directors wa WHO, kote muhimu.
Pamoja na mawazo ya wengi humu ambayo yamepelekea kwenda Off Topic hili ni swali zuri sana na naweza kusema ni swali la siku.... kama Conficius alivyosema; The man who asks a question is a fool for a minute, the man who does not ask is a fool for life.
Nikirudi kwenye mada nadhani swali lako limejikita kwenye utamaduni wa sasa wa kwamba mtu unasoma ili upate cheti na unapata cheki ili kikusaidie kwenye kipato na sio uelewe wa kupambana na mazingira yako au kukidhi matamanio yako....
Swali sio kwamba Kwanini watu wanaishi nauliza kwanini wewe Unaishi ? Dhumuni la swali ni kujaribu kueleweshana huenda watu tumesahau kwamba Binadamu tupo tofauti chema kwako ni kibaya kwa mwingine...; Ila mwisho wa siku kila mtu anahitaji Kusudi (Purpose); kitu kinachomsukuma kuamka asubuhi na...
www.jamiiforums.com
K.U.N.A. (Yupo Mdau sio huyu) mdau alikuwa anakusanya degree kama stamps..., yaani anaona hii bado sina ngoja nichukue ila anafika hata wakati anapropose kwa Chuo kuanzisha Course fulani au mchanyato wa Course (kwake yeye vyeti ilikuwa challenge / prestige)... Kuna mwingine vitu vinakuja kwa urahisi au anapenda kitu fulani na alisomea kitu ambacho alikuwa hakipendi kuliko hiki na sasa hivi kapata muda. Unaweza ukawa ni Mwanakemia ila unapenda kuimba na kuna Course ya kuimba hivyo unaona kwanini nisiongeze ujuzi na kuwa certified
Sasa ingawa Muhusika simfahamu wala siwezi kujua motive yake, LAKINI pia nadhani mleta uzi una point fulani kwamba Medicine ni pana sana na kubwa na ngumu na hivyo mshika mbili huenda zote zikamponyoka..., ila katika dunia ya leo unaweza ukawa MD au Lawyer ila haufanyi practice wala ku deal na hizo issue day to day hata hadi kupata muda wa kupiga porojo kwenye siasa, Hivyo vyeti vinakuwa ni qualification za kuweza kukuuza wewe especially kwenye kazi za administration (sababu una ufahamu wa field nyingi)..., Ndio maana hata Mwinyi Rais ambaye ni MD nina uhakika sasa hivi akiamua na muda anao anaweza hata akapiga hata Masters za kutosha (na sio za kupewa bali za kufanya kabisa kazi na kutoa maandiko)
To each His/Her Own...
*******************************
Sasa nakupa benefit of doubt hapo kwenye Neno Kuna niliweka KUNA nimekuta imebadilika na kuwa**** sasa hata ukiangalia context kwamba mdau huyu alikuwa anakusanya degree kama stamps na hadi kozi ambazo hazipo anashauri Chuo Kianzishe obviously simuongelei muhusika ukizingatia kwenye paragraph inayofuata nimesema muhusika simfahamu wala siwezi kujua motive zake.... Sasa ebu niambie in that token, uelewa wa nani unatia mashaka ?
Hutaki Waafrika wasome na kushindana kwenye taasisi za kinataifa kwa sababu ni za wazungu?
Is this your point?
Maana mimi nasimamia point kwamba regardless ya nani ana control WHO Waafrika wanatakiwa kusoma na kuchangia maendeleo ya dunia na kushindana kwenye taasisi za kimataifa.
Na siishii kwenye mkurugenzi tu, mpaka kwenye wataalamu huko Waafrika wanahitaji kujiongeza. Ukiangakia Nobel za Sayansi Waafrika hatumo, kwa nini? Tunatakiwa kujiongeza. Na kujiongeza ni kusoma.
Tuongeze watu kuanzia wataalamu mpaka ma directors wa WHO, kote muhimu.
Tafuta muda wa kuandika principles za health policies wa nchi yeyote ya developed nations ndio utaelewa wa foundation za hoja.
Sasa achana na health policies za taifa, wengine tushaandika kuhusu health intervention; wateja wetu washaacha kazi hospitalini degree zao tumewaandikia sisi. Sasa hivi wanamiliki carehomes.
Kuendesha hayo mambo msingi wake ni WHO directives.
Hujui
Huwezi kutoa vitu kichwani kwako tu; huna ufahamu wa operation za WHO.
Kwangu wala sio kubishana hapa nakueleza uhalisia ambao wewe mwenyewe unaujua. Mengine ukaidi tu, ain’t got no time to entertain nonsense.
LLB only useful kukupa fundamentals za legal principles.
Utakachoweza pambania mahakamani ni shahada yako ya awali.
Kwa marehemu ingekuwa maswala ya tort za afya na criminal offences za afya kwa kuzielewa sheria za Tanzania.
Kusoma LLB ili uwe muhitimu wa sheria inabidi kwanza uwe chini ya mwanasheria anae deal na specialisation yako ya fist degree (kwa Ndugulile ni maswala ya afya).
But don’t kid yourself mtu kusoma LLB anajua sheria in general, rather only minor legal principles on how to argue.
Faida yake ni kwa maswala ya degree yake ya awali tu; nothing more.
Mtu ambae kasoma medicine na ana LLB hawezi kukutea kwenye kesi ya kodi, contract na sehemu kubwa ya orodha ya mashtaka ya serikali.
Moreover LLB aina maana bila ya qualified lawyer.
Just to give you a perspective, yaani wabongo mnatukuza elimu balaa. LLB yenyewe ya open university.
Wewe jamaa una matatizo kwani ubora wa elimu ni chuo au mhusika ? Hakuna watu
kibao wa UDSM na Mzumbe wanaofeli kule Law school kila mwaka na je
hakuna graduate wa OUT wanafaulu huko Law school?
Na hiyo LLB kwani sio degree ya kwanza? Kwa nini asiweze kutetea
maeneo mengine ya sheria? Wewe ungesema ina hitaji mtu ufanye practice
ili awe vizuri sio zaidi ya hapo.

Kama unatoka nje ya mada japo ulichokisema kina mantiki.
Mwenye jibu la uhakika na sahihi ni muhusika kwamba kwanini aliamua kusoma LLB.
Sifikirii lengo ilikua ni kujikita kwenye sekta ya Sheria, hata ukiangalia vyeti vyake vya ziada aliendelea kujiimarisha kwenye kwenye kada ya afya zaidi.
Ikumbukwe alikua mbunge na sioni ubaya wa kupata uelewa wa eneo flani hata kama hautaki kubobea huko.
LLB ya OUT Ina hitilafu gani? Hapakua na umuhimu wa hiyo kauli kwenye huu mjadala.
Wewe jamaa una matatizo kwani ubora wa elimu ni chuo au mhusika ? Hakuna watu
kibao wa UDSM na Mzumbe wanaofeli kule Law school kila mwaka na je
hakuna graduate wa OUT wanafaulu huko Law school?
Na hiyo LLB kwani sio degree ya kwanza? Kwa nini asiweze kutetea
maeneo mengine ya sheria. Wewe ungesema ina hitaji mtu ufanye practice
ili awe vizuri sio zaidi ya hapo.
Nakubaliana na wewe ila nikukumbushe kuwa yeye alisoma first degree sio
Master is LLB sio LLM.
Ila nakubaliana na wewe kwamba kwa umri alikuwa nao Ndugulile
na ubusy wa kazi zake asingeweza kupractice sheria kwa upana wake
zaidi angebase kwenye sheria za Afya na mambo ya uongozi na utawala.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.