Mayor Quimby
JF-Expert Member
- Mar 13, 2021
- 4,950
- 10,977
Ujanisoma kwa makini huo ndio mtazamo wangu pia.Kama unatoka nje ya mada japo ulichokisema kina mantiki.
Mwenye jibu la uhakika na sahihi ni muhusika kwamba kwanini aliamua kusoma LLB.
Sifikirii lengo ilikua ni kujikita kwenye sekta ya Sheria, hata ukiangalia vyeti vyake vya ziada aluendelea kujiimarisha kwenye kwenye kada ya afya zaidi.
Ikumbukwe alikua mbunge na sioni ni vibaya kupata uelewa wa eneo flani hata kama hautaki kubobea huko.
LLB ya OUT Ina hitilafu Gani? Hapakua na umuhimu wa hiyo kauli kwenye huu mjadala.
Shida yangu ni hawa ambao wanamwita mtaalamu wa sheria going as far asto say kusema anaweza isadia nchi kwenye mikataba.
Pitia mada yote uone aina ya watu niliokuwa najibizana nao.