Congressman
JF-Expert Member
- Jun 2, 2020
- 781
- 2,305
He knew what he wanted and chose his pathHabari Wakuu!
Katika mapitio yangu ya CV za watu mashahuri Nchini, Week kadhaa nyuma nilipata wasaa wa kupitia CV ya the Late Hon. Faustine Ndugulile, aliyekuwa Mbunge wa Kigamboni na Mkurugenzi mteule wa WHO kanda ya Africa.
Hivyo swali langu nilitamani kufahamu umuhimu wa MD kusomea degree ya sheria ilihali tayari yeye ni specialist kwenye Afya.
View attachment 3176412
Eti naye huyu ni GT katika JF!Habari Wakuu!
Katika mapitio yangu ya CV za watu mashahuri Nchini, Week kadhaa nyuma nilipata wasaa wa kupitia CV ya the Late Hon. Faustine Ndugulile, aliyekuwa Mbunge wa Kigamboni na Mkurugenzi mteule wa WHO kanda ya Africa.
Hivyo swali langu nilitamani kufahamu umuhimu wa MD kusomea degree ya sheria ilihali tayari yeye ni specialist kwenye Afya.
View attachment 3176412
Ni kawaida tu yeye ikumbukwe pia ni mwanasiasa na bungeni huwa miswada mingi inahusisha mambo ya sheria.siku hizi engineers wengi wamesoma kozi tofauti sanaHabari Wakuu!
Katika mapitio yangu ya CV za watu mashahuri Nchini, Week kadhaa nyuma nilipata wasaa wa kupitia CV ya the Late Hon. Faustine Ndugulile, aliyekuwa Mbunge wa Kigamboni na Mkurugenzi mteule wa WHO kanda ya Africa.
Hivyo swali langu nilitamani kufahamu umuhimu wa MD kusomea degree ya sheria ilihali tayari yeye ni specialist kwenye Afya.
View attachment 3176412
Kuongeza ufahamu kwenye kazi zake za kisiasa/kibungeHabari Wakuu!
Katika mapitio yangu ya CV za watu mashahuri Nchini, Week kadhaa nyuma nilipata wasaa wa kupitia CV ya the Late Hon. Faustine Ndugulile, aliyekuwa Mbunge wa Kigamboni na Mkurugenzi mteule wa WHO kanda ya Africa.
Hivyo swali langu nilitamani kufahamu umuhimu wa MD kusomea degree ya sheria ilihali tayari yeye ni specialist kwenye Afya.
View attachment 3176412
Una uhakika muheshimiwa amewahi kuwa Engineer?Jery silaa pia baada ya kumaliza degree ya engineering udsm
Alienda kusoma degree ya sheria open university.
Ukienda kwenye kampuni za ukaguzi wa hesabu.. utakutana na mamia ya wahasibu wenye CPA ambao wamesoma degree za sheria pia
Una uhakika muheshimiwa amewahi kuwa Engineer?
Jinga sana hiloMarehemu wakati yupo hai hukumuuliza unatuuliza sisi kweli jamani!!