Petro E. Mselewa
JF-Expert Member
- Dec 27, 2012
- 10,307
- 25,932
Mmmhhh
Ngoja waje
Iwe kitandani, kwenye jeneza, kwenye mkeka au sakafuni, mwili wa marehemu hulazwa chalichali. Kwanini huwa haulazwi kifudifudi ?
Mkuu. mwili wa binadamu(aliyekufa) huwa na kawaida ya kutoa damu puani.
Hivyo marehemu anapolazwa kifudi fudi pua huelekea chini na hivyo husababisha damu kutoka kwa wingi kupitia puani.
Ndio maana hulazwa chali.
imekaaa poaMkuu. mwili wa binadamu(aliyekufa) huwa na kawaida ya kutoa damu puani.
Hivyo marehemu anapolazwa kifudi fudi pua huelekea chini na hivyo husababisha damu kutoka kwa wingi kupitia puani.
Ndio maana hulazwa chali.
Mkuu. mwili wa binadamu(aliyekufa) huwa na kawaida ya kutoa damu puani.
Hivyo marehemu anapolazwa kifudi fudi pua huelekea chini na hivyo husababisha damu kutoka kwa wingi kupitia puani.
Ndio maana hulazwa chali.
Mkuu petro, Nikujuze nilioshuhudia mie kuwa Maiti hulazwa chali, Sababu asioze haraka kwani vidudu vinaanza kula jicho la kulia (rightside eye) kwanza na kusababisha muozo kutoa harufu kali. kasheshoIwe kitandani, kwenye jeneza, kwenye mkeka au sakafuni, mwili wa marehemu hulazwa chalichali. Kwanini huwa haulazwi kifudifudi ?
Mkuu. mwili wa binadamu(aliyekufa) huwa na kawaida ya kutoa damu puani.
Hivyo marehemu anapolazwa kifudi fudi pua huelekea chini na hivyo husababisha damu kutoka kwa wingi kupitia puani.
Ndio maana hulazwa chali.
Mkuu petro, Nikujuze nilioshuhudia mie kuwa Maiti hulazwa chali, Sababu asioze haraka kwani vidudu vinaanza kula jicho la kulia (rightside eye) kwanza na kusababisha muozo kutoa harufu kali. kashesho
Ulishawahi kuaga kwenye msiba. hujawahi kujiuliza kwanini mwili wa marehemu huwekwa pamba puani na wakati tayari ameshakufa?Mkuu damu inatoka wapi kwani huwa haigandi akishakufa?
Kwanini wadudu waanzie jicho la kulia? Kuna siri gani katika jicho la kulia?
Kwa mtazamo wa imani ya kidini nadhani Kila ndugu anapendatmarehemu wake aende mbinguni juu ambapo ndio mungu yupo na chini ni kuzimu kwa shetani.