Kwanini marehemu halazwi kifudifudi?

Kwanini marehemu halazwi kifudifudi?

Iwe kitandani, kwenye jeneza, kwenye mkeka au sakafuni, mwili wa marehemu hulazwa chalichali. Kwanini huwa haulazwi kifudifudi ?

Mkuu. mwili wa binadamu(aliyekufa) huwa na kawaida ya kutoa damu puani.
Hivyo marehemu anapolazwa kifudi fudi pua huelekea chini na hivyo husababisha damu kutoka kwa wingi kupitia puani.
Ndio maana hulazwa chali.
 
Kwa mtazamo wa imani ya kidini nadhani Kila ndugu anapendatmarehemu wake aende mbinguni juu ambapo ndio mungu yupo na chini ni kuzimu kwa shetani.
 
Nakubaliana na wewe. Aidha, naongeza kuwa analazwa chali ili iwe rahisi kwa waombolezaji kuona sura kuwa ni yeye, kwa mfano kama mtu kafariki, ndugu wanapofika utakuta wale wanaosimamia msiba huo wanafunua shuka na wahusika na waona kwa urahisi, kama ingekuwa amelazwa kifufudi ingekuwa kazi kugeuza kala wakati.
 
Iwe kitandani, kwenye jeneza, kwenye mkeka au sakafuni, mwili wa marehemu hulazwa chalichali. Kwanini huwa haulazwi kifudifudi ?
Mkuu petro, Nikujuze nilioshuhudia mie kuwa Maiti hulazwa chali, Sababu asioze haraka kwani vidudu vinaanza kula jicho la kulia (rightside eye) kwanza na kusababisha muozo kutoa harufu kali. kashesho
 
Last edited by a moderator:
Kwanini wadudu waanzie jicho la kulia? Kuna siri gani katika jicho la kulia?

Oooh wakwetu Mazeti hujambo kwanza? Sista kitaalamu na Bio. jicho la kulia ndilo la kwanza kuumbwa ktk nafsi ya mwanaadamu anapokuwa kuWomb. Halafu jicho hilo huwa la kwanza kufunguka baada ya kuzaliwa na hatimaye kutumika sana hata unapoamka usingizini nalo is the first to vision !!
Karibu tena for Knowing your Nafsi.
 
hahaha nimecheka kwa nguvu yaani! Kiranga njoo hapa. Wenzio tunaangalia too much nigerian movies, tunawaza unaenda mbinguni in the postion uliyonayo, we can say in a 'freeze' mod
Kwa mtazamo wa imani ya kidini nadhani Kila ndugu anapendatmarehemu wake aende mbinguni juu ambapo ndio mungu yupo na chini ni kuzimu kwa shetani.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom