Kwanini marehemu halazwi kifudifudi?

duh mkuu unantisha sasa bora uachie hapo hapo

Duh... Mkuu umenitachi screen aisee!!! Hebu ngoja....

Last edited by a moderator:
Duh... Mkuu umenitachi screen aisee!!! Hebu ngoja....
Bado sija funguwa kitabu hiyo ni apetaziza (starter) Sista Charmy !! Inasemekana itafika wakati in the near future itakwa hivi " alokuwa hai na maisha hap Duniani atakuwa akimhusudu yule alokufa pale na akitamani yeye alale pale chali" I can prove !!

Aiseeee,Prove it!

Aiseeee,Prove it!
Ndugu MshuzaII, Kutokana na hali iliyopo Takawimu inayoashiria kwa kasi ni uuzaji wa watoto, Uuzaji wa viungo, Uuzaji wa damu, Uuzaji wa utu,nk ( human trafficking na organs ni biashara kubwa na ina mtandao wa kutisha )!!
Hali ya uchumi maeneo mengi duniani ni duni na chini ya kiwango hivo hupelekea watu hutenda mambo yasio ingia akilini!! Hapa nchini Albino wanawindwa vibaya, Hata Serikali inashindwa kuwalinda!! Jingine Masaibu yaliyomo Jella zetu na Hospitali yanajieleza yenyewe nk,nk.... Baki taarifa tuzisikiazo huko nje namatukio mbali mbali ya mauaji ya kinamna, Refugee status...nk. Hivyo baadhi ya watu huamua afe kuliko kuiishi kwa hali hii na mazingira tete.

Kama ni hivyo basi dunia ina mengi ya kushangaza.

[size=+2]Most things are delusions. What matters are the delusions you believe![/size]

Hiyo hoja ya kuagwa sio hoja kabisa... Ishu ni kuzikwa? Kiimani mtu aendapo ndio aangaliapo na damu kutoka kwa wingi.... Hata marehemu anaposafirishwa... Kichwa kinaangalia aendapo....

Mkuu. mwili wa binadamu(aliyekufa) huwa na kawaida ya kutoa damu puani.
Hivyo marehemu anapolazwa kifudi fudi pua huelekea chini na hivyo husababisha damu kutoka kwa wingi kupitia puani.
Ndio maana hulazwa chali.

Ina make sense.

Hiyo hoja ya kuagwa sio hoja kabisa... Ishu ni kuzikwa? Kiimani mtu aendapo ndio aangaliapo na damu kutoka kwa wingi.... Hata marehemu anaposafirishwa... Kichwa kinaangalia aendapo....

Hoja sio wakati wa kuzika, mtoa mada anaongela suala la maiti kulazwa kifudifudi, mimi nimemwelewa kuwa hii inahusu wakati maiti ikiwa mortuary,  nyumbani baada ya kutoka mortuary au wakati wa kuaga. Wakati wa kuzika kila watu wana mila zao, wapo hata ambao huchoma maiti, wengine hulaza kifudfudi na wengine hulaza ubapa ubapa.

pamba inayowekwa ni kwa ajili ya kukinga wagugu/bakteria waisiingie puani na kumfanya aoze haraka

bacteria wapo hata ndani ya mwili mkuu.....na hao wadudu wa 'kuozesha' cdhani kama wanaweza kufanya hvo kwene ma fridge ya mortuary ama kipindi kifupi from mortuary to kaburini

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…