The Grandson
Member
- Nov 15, 2014
- 13
- 5
Mtu aliyekufa mzunguko wa damu husimama
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dah kweli kukumbushana siku nzito kama hizi ni muhimu imagine unalazwa chali unaogeshwa huwezi chagua aina ya maji kama ya moto au baridi, unavuliwa nguo unapachikwa pamba sehemu za siri na kwingine huwezi kama mpachikaji anakuumiza au hupendi anakugeuza atakavyo,, anakuweka kwenye sanduku au jeneza ,,, hakuulizi kama unalakusema kabla hajakuweka kaburi,,, anatoweka kama analia au nacheka huna uwezo wa kuhoji,, unabaki peke yako Malaika wa mauti nao wanafika na maswali yao....basi bwana wacha niachie hapa
charminglady
YaLLaa wandugu,
kila mmoja atasafiri kwa ticket alonayo, Lakini hajui Safari hiyo tarehe gani, Safari hii haina Tajiri,Msomi au Masikini au, au.... ni siku yako hiyo ? Safari hiyo ni Kifo, haijui nani wala nani.... Tujiaandae na safari ambayo inatakiwa uondoke na zawadi, Sasa zawadi ni ipi? Zawadi ni Ucha Mungu (ucha Mungu,Taqwa,matendo mema) !!
Halafu unaondoka safari hii na gari !! gari lenyewe halina mafuta,diseli wala maji, (gari hili ni jeneza/Coffin) gari hii inaogopwa hata na mwizi,Polisi hata na Mkuu wa mkoa linaendeshwa na madereva wengi na waina zote (watu watakao kubeba), Yaani warefu wafupi , mwendo wa gari hili ni linakwenda kwa kushuka na kunyanyuka linakupeleka hadi kaburini. Sasa humo ndani ya gari upoje ?!!
Na ukifika kaburini Unasubiriwa na Funza,wadudu wa kila aina na Mchanga/udongo tani 5 juu yako!! Sasa Mtu wewe hayo yote ulokusanya Duniani ( kwa kutumia nguvu,ujanja,ufisadi,wizi,fiti na,dhuluma,Rushwa,nyuanganyi,k ughushi,kuchepuka,nk,nk.) !! humo kaburini vitakuteteajee?
Bado sija funguwa kitabu hiyo ni apetaziza (starter) Sista Charmy !! Inasemekana itafika wakati in the near future itakwa hivi " alokuwa hai na maisha hap Duniani atakuwa akimhusudu yule alokufa pale na akitamani yeye alale pale chali" I can prove !!Duh... Mkuu umenitachi screen aisee!!! Hebu ngoja....
Bado sija funguwa kitabu hiyo ni apetaziza (starter) Sista Charmy !! Inasemekana itafika wakati in the near future itakwa hivi " alokuwa hai na maisha hap Duniani atakuwa akimhusudu yule alokufa pale na akitamani yeye alale pale chali" I can prove !!
Ndugu MshuzaII, Kutokana na hali iliyopo Takawimu inayoashiria kwa kasi ni uuzaji wa watoto, Uuzaji wa viungo, Uuzaji wa damu, Uuzaji wa utu,nk ( human trafficking na organs ni biashara kubwa na ina mtandao wa kutisha )!!Aiseeee,Prove it!
Akina Nani??? au we sio greti thinker!!
Aiseeee,Prove it!
Bado sija funguwa kitabu hiyo ni apetaziza (starter) Sista Charmy !! Inasemekana itafika wakati in the near future itakwa hivi " alokuwa hai na maisha hap Duniani atakuwa akimhusudu yule alokufa pale na akitamani yeye alale pale chali" I can prove !!
Life is stages.....! ( Sperms,Ovy,Wombing,7/9 months,Worlding,death,Graving) Life is up and downs !![SIZE=+2]Most things are delusions. What matters are the delusions you believe![/SIZE]
Hiyo hoja ya kuagwa sio hoja kabisa... Ishu ni kuzikwa? Kiimani mtu aendapo ndio aangaliapo na damu kutoka kwa wingi.... Hata marehemu anaposafirishwa... Kichwa kinaangalia aendapo....Nakubaliana na wewe. Aidha, naongeza kuwa analazwa chali ili iwe rahisi kwa waombolezaji kuona sura kuwa ni yeye, kwa mfano kama mtu kafariki, ndugu wanapofika utakuta wale wanaosimamia msiba huo wanafunua shuka na wahusika na waona kwa urahisi, kama ingekuwa amelazwa kifufudi ingekuwa kazi kugeuza kala wakati.
Mkuu. mwili wa binadamu(aliyekufa) huwa na kawaida ya kutoa damu puani.
Hivyo marehemu anapolazwa kifudi fudi pua huelekea chini na hivyo husababisha damu kutoka kwa wingi kupitia puani.
Ndio maana hulazwa chali.

Hoja sio wakati wa kuzika, mtoa mada anaongela suala la maiti kulazwa kifudifudi, mimi nimemwelewa kuwa hii inahusu wakati maiti ikiwa mortuary, nyumbani baada ya kutoka mortuary au wakati wa kuaga. Wakati wa kuzika kila watu wana mila zao, wapo hata ambao huchoma maiti, wengine hulaza kifudfudi na wengine hulaza ubapa ubapa.Hiyo hoja ya kuagwa sio hoja kabisa... Ishu ni kuzikwa? Kiimani mtu aendapo ndio aangaliapo na damu kutoka kwa wingi.... Hata marehemu anaposafirishwa... Kichwa kinaangalia aendapo....

unajua wewe ni chizi aaaaaaMarehemu anastahili heshima popote pale, huwa analazwa chali ili asife kwa kukosa hewa akilala kifudifudi.
pamba inayowekwa ni kwa ajili ya kukinga wagugu/bakteria waisiingie puani na kumfanya aoze haraka