Kwanini Marekani haingii peke yake uwanja wa vita anavyovianzisha?

Mateso chakubanga

JF-Expert Member
Joined
May 10, 2021
Posts
587
Reaction score
800
Mara zote nimesikia na kuona kupitia vyombo vya habari Marekani akianzisha chokochoko kwa nchi kadhaa lakini ikifikia hatua ya mapigano ya kivita anashawishi nchi nyingine hasa za Ulaya kumuunga mkono kwenye uwanja wa vita?
 
Ndio hivyo wenye akili hufanya, vita ni gharama, hawezi kuharibu uchumi wake hata kidogo, US kiukweli ni watu smart mno sio kidogo hata.

Na pia anajali maisha ya askari wake na ndio maana wakati mwingine huwa anakodi wapiganaji. Sasa kuna mjinga mwingine kaingia kwenye vita direct.

Anapoteza askari wake, uchumi wake unaharibika.
 
Hakuna kitu kama hicho,anaogopa maana kilicho mkuta Vietnam baada ya kujitosa peke yake kilicho mkuta ni aibu na hato kuja kuthubutu tena.

Vita ya Vietnam ni historia chungu sana na iliyo jaa aibu kwenye historia ya Marekani na ndio maana Marekani anatoa misaada ya hali na mali kwa Ukraine ili kuhakikisha Urusi anashindwa vita ili kupunguza aibu ya kushindwa vibaya sana nchini Vietnam.
 
Mara zote nimesikia na kuona kupitia vyombo vya habari Marekani akianzisha chokochoko kwa nchi kadhaa lakini ikifikia hatua ya mapigano ya kivita anashawishi nchi nyingine hasa za Ulaya kumuunga mkono kwenye uwanja wa vita?
Kwasababu asilimia kubwa ya askali wa marekani ni mashoga na unajua vitani kuna kutumia silaha nzito
 
Mara zote nimesikia na kuona kupitia vyombo vya habari Marekani akianzisha chokochoko kwa nchi kadhaa lakini ikifikia hatua ya mapigano ya kivita anashawishi nchi nyingine hasa za Ulaya kumuunga mkono kwenye uwanja wa vita?
Ndivyo walivyokubaliana
 
Ongezea na wafungwa
Yah hawaelewi mrusi nae hatumii full mziki,,,anaweka Wagner na wafungwa ,hata silaha anazotumia pia kwa asilimia kubwa ni zile za zamani ,hizi latest anatumia mara chache sana tena inapomlazimu,,, hasa vifaa vya electronic warfare na hypersonic missile baaas
 
Mara zote nimesikia na kuona kupitia vyombo vya habari Marekani akianzisha chokochoko kwa nchi kadhaa lakini ikifikia hatua ya mapigano ya kivita anashawishi nchi nyingine hasa za Ulaya kumuunga mkono kwenye uwanja wa vita?
Marekani anakumbukumbu mbaya sana na Vietnam yale magobore yalimtoa nishai ...marekani hata burundi bujumbura awezi kuingia vitani mwenyewe.
 
Marekani anamiliki Siraha nyingi na Jeshi kubwa lakini hana siraha bora pia Jeshi lake limeruhusiwa kubadiri jinsia ama kuwa mashoga.
Nikuulize swali? Mtoto wa kiume shoga utamlinganisha na Wa kiume asiye shoga?
 
Back
Top Bottom