Mateso chakubanga
JF-Expert Member
- May 10, 2021
- 587
- 800
Mwanaume anakwenda kiume, hilo la uchumi shauri yake.
Hakuna kitu kama hicho,anaogopa maana kilicho mkuta Vietnam baada ya kujitosa peke yake kilicho mkuta ni aibu na hato kuja kuthubutu tena.Ndio hivyo wenye akili hufanya, vita ni gharama, hawezi kuharibu uchumi wake hata kidogo, US kiukweli ni watu smart mno sio kidogo hata.
Na pia anajali maisha ya askari wake na ndio maana wakati mwingine huwa anakodi wapiganaji. Sasa kuna mjinga mwingine kaingia kwenye vita direct.
Anapoteza askari wake, uchumi wake unaharibika.
Hata wanaume wanawake wapo pia, Kuna mdau kasema hawapeleki jeshi sababu ya uchumi huwa wanakodi kukwepa gharama wasiyumbishe uchumi wao.NAFANANISHA NA MWANAMKE ANAEONEWA NA MUMEWE ILA ANAMSUBIRIA AKILEWA ANAMBInYA MAMBUPU.Kuna wanawake pia katika jeshi la Marekani
Kwasababu asilimia kubwa ya askali wa marekani ni mashoga na unajua vitani kuna kutumia silaha nzitoMara zote nimesikia na kuona kupitia vyombo vya habari Marekani akianzisha chokochoko kwa nchi kadhaa lakini ikifikia hatua ya mapigano ya kivita anashawishi nchi nyingine hasa za Ulaya kumuunga mkono kwenye uwanja wa vita?
Ongezea na wafungwaUliza mji uliochukuliwa jana kama kuna kikosi cha mrusi kimeingia hapo zaidi ya kampuni ya wagner
Ndivyo walivyokubalianaMara zote nimesikia na kuona kupitia vyombo vya habari Marekani akianzisha chokochoko kwa nchi kadhaa lakini ikifikia hatua ya mapigano ya kivita anashawishi nchi nyingine hasa za Ulaya kumuunga mkono kwenye uwanja wa vita?
Yah hawaelewi mrusi nae hatumii full mziki,,,anaweka Wagner na wafungwa ,hata silaha anazotumia pia kwa asilimia kubwa ni zile za zamani ,hizi latest anatumia mara chache sana tena inapomlazimu,,, hasa vifaa vya electronic warfare na hypersonic missile baaasOngezea na wafungwa
Australia na Korea KusiniKwani Vietnam aliingia na nani?
Marekani anakumbukumbu mbaya sana na Vietnam yale magobore yalimtoa nishai ...marekani hata burundi bujumbura awezi kuingia vitani mwenyewe.Mara zote nimesikia na kuona kupitia vyombo vya habari Marekani akianzisha chokochoko kwa nchi kadhaa lakini ikifikia hatua ya mapigano ya kivita anashawishi nchi nyingine hasa za Ulaya kumuunga mkono kwenye uwanja wa vita?
Nato inachwapwa na security guard tu kweli USA NI MBWA KACHOKA[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mwanaume anakwenda kiume, hilo la uchumi shauri yake.