battawi
JF-Expert Member
- Mar 29, 2014
- 2,712
- 2,577
- Thread starter
- #21
Kwa nini Marekani ndo ijibu mapigo wakati hawa watu hawamo kwenye ardhi ya marekani? ,wako kwao na wanaanzihs hii resistance kwao .? si angeli waacha wenyewe wakaelewana? Mbona Kule outhern sudan Haendi kuumaliza ule ugomvi,yeye na nchi za waislamu tuuu? Kuna jambo lime jificha hapa,Hulioni?Hao watu wanaodai ni waislam wanapigana a losing battle kwa kisingizio cha kumpigania mungu wao anayeitwa allah.
Na kwa imani fulani fulani kwamba wakiuliwa kwenye vita hivyo watapata malipo fulani kwa huyo allah na ndipo wanashawishika kupigana hadi hayo mauti yanawakuta.
It's a fallacious conviction driven more by spurious religious bigotry whose aftermath is not palatable and results into such deaths as the one that has claimed the life of that jihadist Al Baghdadi.