Kwanini Marekani inawasaka Waislamu waliowaita ISIS na kuwaua?

Kwa nini Marekani ndo ijibu mapigo wakati hawa watu hawamo kwenye ardhi ya marekani? ,wako kwao na wanaanzihs hii resistance kwao .? si angeli waacha wenyewe wakaelewana? Mbona Kule outhern sudan Haendi kuumaliza ule ugomvi,yeye na nchi za waislamu tuuu? Kuna jambo lime jificha hapa,Hulioni?
 
Dini ni ujinga mtupu
Nalog off
Pumzi inakupa kiburi,lakini utajua tuu kuwa huna uwezo wa kumiliki hata Usingizi wako,na hujui ni wakati gani utaamka,na nini kinaendelea wakati ukiwa usingizini.
Jua Sasa ya kuwa yuko aliye kumiliki na anayekuendesha.
Na yeye huyo ana mamlaka ya kila kitu,,
wewe ni mtumwa tu wa Mawazo na nafsi,lakini ungelibadilika ukawa mtumwa wa aliye kuwezesha kuwepo hapa ulimwenguni ,ungekuwa na Furaha kubwa.Ungeliijuwa kweli yote.
 
Anyway huenda nimesahau na naomba radhi kwa hilo .ila kumbukumbu zangu nikuwa Walitaka muungano uvunjwe. Hebu tufuatilie
Pitia hii video utajua mengi
 
kama wasipouliwa nine eleven , waste gate and other terror attacks will have this world fvucked up
 
Kumbe USA aliwafundisha ISIS kukata vichwa vya wakristo na kuvinin'giniza juu,

Boko haram na Al shabaab kuunga mkono ISIS kumbe USA anahusika,

USA kumbe ndio huwatuma ISIS kushambulia Germany, Ufaransa, Canada USA kwenyewe nk.

Iraq, Syria, Turkey, Russia, Kurds nk wote hao wamepigana na ISIS ..kumbe marekan aliwatuma

USA inatumia billions of dollars kupambana na ISIS for what ikiwa wao ndio waliitengeneza ISIS

Waislam mna akili sana
Asalaam Aleikhum
 

Kwani hujui kuwa mfadhili mkuu wa masuala ya ugaidi ni USA? Anakutengeneza akikuchoka anakuuwa.
 
Hii ina maana watu wanatumika kumalizana wenyewe kwa wenyewe
Fomer President Bush 2 aliwahi kusema mara tuu baada ya sep.11
''Tutahakikisha kuwa magaidi(akikusudia waislamu wa midle est) wanamalizana wenyewe kwa wenyewe kwenye nchi zao ili miji yetu ibaki kuwa salama"
Agenda hii ndo imo kazini hadi leo.
 
Hampati ajira coz wengi wenu hamjasoma sio kisa ubaguzi
Basi hata nafasi za kuteuliwa serikalini hakuna wislamu,ndo maana Baraza zima la mawaziri 90% wkristo watupu,na mabalozi hivyo hivyo!
Kusoma huko kwa kiwango gani ambapo waislamu hawajafikia?
Kwa maslahi ya taifa hili iko haja ya kulizingatia hili ili pasitokee mpasuko huko twendako.
Dalili ya mvua ni rasha rasha.
 
Una shida kichwani!!!

Nini kinakufanya useme ni Waislamu au Si Waislamu?
 
Jambo gani na wewe wakati hata pale Somalia pia kuna ushahidi kuwa wamekuwa wakiwaua magaidi mara kwa mara.
 
Unathibitishaje ukristo wao? Je, umewahi kusali nao kanisa gani au tayari ukiona mtu anaitwa Joseph au Mary kwa akili yako tayari ni mkristo hata kama hajawahi kukanyaga kanisani.

Tatizo lenu mnaamini kwamba jina ndio dini ambayo ni akili finyu sana.
 
waislamu msiingie kwenye mtego wa mleta mada, anachokifanya ni kuonyesha kuwa waislamu wanasikitika kuuwa kwa al baghdad na members wengine wa IS kitu ambacho sio kweli
 
Yaa akhy battawi saydina ali (r.a)asema mwamini Mwenyezi Mungu kisha baki na msimamo, pia asema ukitaka kujua kundi gani lipo sahihi tazama mishale ya maadui inapolekea kwa wingi. pia mtume Muhammad (s.a.w)asema watakaishi miongoni mwenu watashuhudia mengi namalizia pia kwa hadithi ya mjumbe wa Allah asema "zitakuja zama waislam watazungukwa na Maadui kila pande za dunia na kushambuliwa kama vile walaji wanavyokizunguka chakula cha sherehe kwenye sinia, maswahaba wakauliza yaa rasulullah ina maana kipindi hicho tutakua wachache rasulullah akajibu laaa mtakua wengi sana ila allah atatia wahan kwenye nyoyo za Waislam, Ewe ndugu yangu battawi nakupenda kwa ajili ya Allaah nakuhusia pamoja na kuihusia nafsi yangu juu ya jambo la kumcha allah kisha baki na msimamo wako. Al bagdad ni kiumbe kama viumbe wengine dini ni ya Allaah walikuwepo kabla yake yeye so usihuzunike ewe mjaa kaa kimya ndugu yangu hakika ushindi ni kwa waumini.
 
Badala ya kusema America ni wajanja sani, mbona usiseme Arabuni ni wajinga sana? Kama wewe umegundua kuwa wanatengenezwa, ina maana wewe na Marekani wote ni wajanja, ila mjinga ni yule asiyejua haya myajuayo ninyi wawili. Au waonaje?
 
Nawewe anza kupigana ukimtegemea huyo Alah wako uone kitakachokukuta
 
Wewe mwarabu mweusi umefanya nini?
 
Quran inasemaje juu ya hilo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…