lukubuzo Samsis
JF-Expert Member
- Nov 3, 2014
- 2,920
- 3,388
Wanafanyiwa liwati umewaona?Uamsho waombe msamaha kwa nan, masheikh wanafanyiwa liwati majera halafu ww wasema waombe msamaha waombe kwa nani wadhani ni wajinga kiasi hicho, then hiyo hadithi yako ya kua waislam hawatakiwi kupigana hadi wapate nguvu sijui umeitoa wapi!!hv wakijua kisa cha utheymin RahimahuLlaah na kisa cha imam shafii mbona hawa walipigana na tawala je walikua majahilia!
Kwa nini wanakubali kutengenezwa? Hawana akili ya kukataa kutengenezwa? Hawana hela hadi wakahongwa ili kutengenezwa? Kama majibu ni hapana, basi hapo Marekani haihusiki kutengeneza makundi ya kigaidiISIS kama Alqaeda walitengenezwa na USA ...
Pitia hii video utajua mengi
Pitia hii video utajua mengi
ILI ANDIKO LITIMIE ,NDO MAANA WANAKUBALI KUTENGENEZWA.Kwa nini wanakubali kutengenezwa? Hawana akili ya kukataa kutengenezwa? Hawana hela hadi wakahongwa ili kutengenezwa? Kama majibu ni hapana, basi hapo Marekani haihusiki kutengeneza makundi ya kigaidi
Ukweli MchunguThe enemy of Islam are Muslims themselves
Ni kweli jina sio dini ila kawaida kwamba waislamu hutumia majina ya kiarabu na wakristo hutumia majina ya kizungu mara nyingi huwa hivyo ni nadra mzazi muislamu amwite mwanae John au mzazi mkristo amwite mwanae Muhammad.Unathibitishaje ukristo wao? Je, umewahi kusali nao kanisa gani au tayari ukiona mtu anaitwa Joseph au Mary kwa akili yako tayari ni mkristo hata kama hajawahi kukanyaga kanisani.
Tatizo lenu mnaamini kwamba jina ndio dini ambayo ni akili finyu sana.
Hivyo utasema hapa Tz hatuna hayo makundi kwa sababu tuna akili ya kukataa ambayo waarabu hawana?Kwa nini wanakubali kutengenezwa? Hawana akili ya kukataa kutengenezwa? Hawana hela hadi wakahongwa ili kutengenezwa? Kama majibu ni hapana, basi hapo Marekani haihusiki kutengeneza makundi ya kigaidi
ISIS ni waislama wanyama tu kama nguruwe hao sawa na Alshabaab na Boko haram, wote ni wanyama sanaNi wiki iliyopita tu Waislam wa madhehebu ya shia Afghanistan wameuawa kikatili msikitini na wasunni. Sikumsikia Mmatumbi yeyote akilaani damu ya waislamu inamwagika
Isitooshe mwakajana alshab ilipowaua wasomali 1500 had hao wenyewe waliogopa kukiri kuhusika Sikumsikia Mmatumbi yeyote akilaani
Jaribu ukione cha moto, uwahi mabikra 72 Shubamitt we!!Uamsho waombe msamaha kwa nan, masheikh wanafanyiwa liwati majera halafu ww wasema waombe msamaha waombe kwa nani wadhani ni wajinga kiasi hicho, then hiyo hadithi yako ya kua waislam hawatakiwi kupigana hadi wapate nguvu sijui umeitoa wapi!!hv wakijua kisa cha utheymin RahimahuLlaah na kisa cha imam shafii mbona hawa walipigana na tawala je walikua majahilia!
Wewe hujui kitu kuhusu hao uamsho, aidha unakijua ila unajifanya kushangaalakini Muamsho wao hawakuwa wakidai Utawala wa Kiislamu Zanzibar,bali walikuwa wakidai haki za kiraia kwa niaba ya wazanzibar na walikuwa wakiwashawishi viongozi wa nchi wapeleke madai yao.
Waulize marekani [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Nashangazwa sana na Dunia Hii ya leo,Haki imekuwa batili,Dhulma inaonekana kuwa haki
Damu za waislamu zimekuwa rahisi kumwagwa,kila mwenye kuuwa leo hujifunzia kwa waislamu.
Tumepandikiziwa makundi na misimamo ya ajabu halafu tumehalalishiwa kuuwawa.
Hapa kwetu tanzania,Ukiunga mkono Muamsho ambao walikuwa wana madai halali ya Muungano kuwa hauna maslahi na Zanzibar wame wekwa kizuizini na kuitwa Magaidi
Ukisema kuwa Waislamu hawapewi haki sawa na Wakrisrto Nchini katika ajira Unaitwa Mchochezi.
Huyu Abubakri al Baghdadi kule iraq Alianzisha Utawala wa Kigkalifa ambao uliungwa mkono na 2/3 ya wairaqi baada ya kuchoshwa na vita vya kisiasa nchini mwao.Hatimae DINIA NZIMA IMEWAELEMEA NA KUANZA KUWASAKA MMOJA MMOJA NA KUWAUA.
Ndani ya nchi yao,Marekani na Mashoga zake waitakianini mambo ya ndani ya nchi?
hapa ndipo ninaposhindwa kuelewa.
Duniani leo kulikoni?
Mbona Damu za Waislamu zime fanywa kuwa Rahisi kumwagwa na halali?
MBON WANAPATA HASARA KUBWA KUWASAKA WATU WASIOKWISHA DUNIANI?Waulize marekani [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Salaf ukawaAkhy hizi Adha zoote wanazopitia waislaam ni Machumo ya Mikono yetu.
Tumeiacha njia ngoja tuadabishwe.
ABOUBAKR al BAGHDAAD kama wamemuua basi anastahili juu ya alichokipata.
Uamsho wanatakiwa waombe msamaha, walikosea huwezi kupambana na Watawala hata siku moja.
Wangepita Mapito aliyopita Mtume Swalallah alayh wasalam yasingewafika hayo ya kuwafika.
Mtume swalallah alayh wasalam alianza mapambano baada ya Hijra ndo akarejea kuikomboa maka , wakati tayar na Yeye ana nguvu, laakin kipindi chote alichokuwa Makah hakuwahi kuwapinga Watawala wa Makah ispokuwa katika yake ambayo yalikuwa kinyume na dini.
Sasa Uamsho hawakutakiwa kuanzisha vuguvugu ikiwa wao si Viongozi wa nchi na hawana Nguvu.
Unafiq mbaya saaana Hawa ndiyo Aina ya watu tulionao Leo Al akhii hebu muacheNa pia ujue kua aya zilizomruhusu mtume (s.a.w) kupigana nyingi zilishuka madina na sio kwamba mtume hakua na nguvu laah hakupewa tu amri ya kupigana, pia kaa ukijua na kutambua kua linapokuja swala la imaan waislam hawapigani kwa wingi wao au ubora wa silaha wanapigana kwa kumtegemea allah pekee yake na hiyo ndio imaan ya kwel katika ushindi.
Sawa SUFISalaf ukawa
Mtu mgeni anakuja kwako anakushawishi ukamuue ndugu yako na wewe unachukua panga unamuua ndugu yako. Hapo nani mjinga? Endeleeni kuilaumu USA miaka 3000, middle east itakuwa chini ya USA. Iran pamoja na kujisifu kote bado ni mtoto sana kwa USA.MBON WANAPATA HASARA KUBWA KUWASAKA WATU WASIOKWISHA DUNIANI?
Kwa kuwa wao Marekani wanataka Raha za dunia,na wenzao Akina Baghdadi wanaitafuta Raha ya Akhera.