Kwanini marekani waliivamia vietnam

Kwanini marekani waliivamia vietnam

komeka

JF-Expert Member
Joined
May 1, 2013
Posts
1,072
Reaction score
403
Nimekuwa nikijiuliza swali hili kwa muda mrefu nimejaribu kufuatilia nimepata majibu mengi nimeshindwa kujua lipi ni sahihi anayejua chanzo hasa anisaidie ntashukuru
 
embu tupia hapa jamvini baadhi ya hayo majibu ili tuwe na mjadala mpana zaidi mkuu.
 
Sababu kuu ni ile Vita Baridi/Cold War,upande mmoja wa Vietnam ulikuwa Socialist na mwingine Capitalist so Marekani alienda kupigana vita kuzifanya Vietnam zote North na South ziwe upande wake wa Capitalist.
 
asante mkuu
 
Back
Top Bottom