Kwanini Marubani hupenda kuvaa miwani ya jua?

Hata ukitaka kutembea mapumbu yakining'inia ndani ya suriali bila boxer Ni uamuzi wako. Bujibuji kumbuka tunaongelea kitu ambacho ni cha kiprofessional na hatujawahi kuona rubani muda wa mchana angani akiwa hajavaa sunglasses. Swali je Ni uamuzi binafsi ama ni sheria ya urubani kulinda afya zao?
Takwa binafsi
 
KWANINI MARUBANI HUPENDA KUVAA MIWANI YA JUA?

Miwani ya Jua hupunguza athari za mwanga mkali wa jua, uchovu wa macho, na kulinda tishu za macho dhidi ya mionzi hatari ya jua.

View attachment 2593378
Kwa Rubani (kama jadi) pia humlinda dhidi ya miale mikali ya Jua anapokuwa angani na zaidi ya hayo, kuepuka kuathiriwa na uchafu unaoweza kuruka kutokana na mgongano wa ndege hai, mitikisiko au mtengano wa ghafla wa hewa 'Rapid decompression'.
Lakini pia hulinda marubani kwenye ndege za michezo 'aerobatics' kwasababu kama hizo n.k

Miwani halisi ya Jua ambayo huvaa marubani "Original Aviators Sunglasses" kwa kawaida bei huanzia kati ya Tzs 290,000/= hadi Tzs 4,200,000/= (ukivunja kuja Tzs)

Baadhi ya Miwani maarufu ni:
Ray-Ban
Carrera
St. Laurent
Gucci
Linda Farrow
Dita
Chopard
Jimmy Choo
Dolce & Gabbana
Cartier
Prada
Versace
Dior
Valentino
Bottega Veneta
Matsuda n.k

Kati ya miwani hizi, unaweza kupata Ray-Ban nafuu hadi Tsh. 285,000/= na ya kati kwa Tsh 500,000/=
Miwani ya #Dita kwa Tsh. 2,700,000/= na ya gharama zaidi #Cartier hadi Tsh. 4,200,000/=

Miwani hii unaweza kupata karibu maduka yote makubwa kwenye viwanja vya ndege vya kimataifa, Maduka ya vifaa vya Marubani au Mtandaoni.

📷
Captain Brian
Kwa msaada wa Aviation Media Tanzania

Vyanzo:
Federal Aviation Administration/Sunglasses
Ili waweze kuona matuta vizuri
 
Farfetch
Federal Aviation Administration/Sunglasses
Wewe nawe, ban yako haiishi tu, au ulitembea na mke wa Mhariri?
 
Hakuna uhusiamo wowote wa miwani izo wanazo vaa na byombo wanabyo viongoza ..zaid zaid ni fashion tu ...
 
Back
Top Bottom