Kwanini mashabiki wa ulaya wanazichukia timu za PSG, Newcastle na manchester city?

uwe hodari

JF-Expert Member
Joined
Dec 16, 2022
Posts
4,045
Reaction score
8,608
Kwenye mechi za UEFA hivi vilabu vimekuwa vikirushiwa dollars za bandia na dhahabu za bandia uwanjani kuashiria kuwa sio timu za mpira


Mashabiki wamekuwa wakizilenga hizi timu kwa kuzifanyia ubaguzi

Je mashabiki wapo sahihi kwamba hizi timu zimekosa vigezo vya kuitwa football teams?
 
Si mwaka huu huu Man City SC "Mwacity" alituhumiwa makosa 101 pale UK tokana na kanuni za Financial Fair Play "FFP"?

Unajua hizo tuhuma za makosa yote hayo ziliishia wapi na ziliishaje ishaje?

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
Wivu tu toka kwa timu zilizoshindwa kuweka mpunga na kuishia kuzilaumu timu zinazoenda kisasa.


Dunia iko zama za mpira pesa na sio maneno mengi vitendo zero
 
Hapana tukio linahusu mechi ya psg na ac Milan, washabiki walikuwa wanamrushia Donnaruma kipa wa Psg dollar feki sababu alikuwa kipa chipukizi, alikuwa na Milan akakataa kuongeza mkataba pamoja na Milan kumpa ofa nzuri akaenda psg Kama free agent. Walikuwa wanamdhiaki hakuobyesha heshima kwa klabu Bali aliuza utu wake kwa pesa.
 
Wivu tu kutoka kwa wawekezaji wazungu kushindwa kutia mpunga wa maana kwenye timu zao
 
Timu zenye mafanikio ya shortcut
 
Kuna Girona pia wanakuja mdogo mdogo.
No Labda sifahamu
Ila girona ni kama leicester they bought cheap players then became great

Timu za hivi huwa zinapendwa kwa sababu ni nadra kutengeneza kikosi bora kwa sajili za bei ndogo

Hakuna mtu anaichukia leicester
Girona hawana mabosi wenye pesa sidhani kama watachukiwa
Au kuna taarifa sina wakuu😃
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…