Kwanini Mashabiki wa Yanga ndiyo Wanaoogoza kulalamikia Simba kudhulumiwa na Mo Dewji?

Leo mo akiamua kuondoka simba au simba wakimtaka aondoke anaweza kuwadai bilioni 400 na akawawekea mchanganuo kwanini anadai kiasi hicho
 
Manyani kazi yao kuzomea zomea tu
 
Samahani hivi yule aliyekuwa Mwenyekiti pale msimbazi, Mzee Kilo na Bi Hindu wote ni Yanga hao?
 
Samahani hivi yule aliyekuwa Mwenyekiti pale msimbazi, Mzee Kilo na Bi Hindu wote ni Yanga hao?

Uliwahi kujiuliza Mzee Akilimali aliyemuondosha Manji alikuwa Simba?
Jibu utakalolipata kwa Akilimali ndiyo hilohilo utakalolipata kwa Kilomoni.
Hao Wazee hawakuwa na Ubavu wowote wa kuyafanya Waliyoyafanya bali kulikuwa na Watu nyumayao ambao Maslahi yao yanaelekea kufifia ndiyo Wakaamua kuwatumia hao Wazee ili kujaribu kulinda Maslahi yao. Na ndiyomana Uzi haukusema ni Mashabiki wa Yanga 100%.
 
Sasa we umejadili kibiashara kwenye eneo lipo?
Kwa hisa 51% za wanachama sio kibiashara?.
Mngekua na akili za kufikiria mngekua mnahoji hizo hisa 51% mbona hamjazitendea haki.
Mwenzenu mwenye hisa 49% anatoa B 3 kila mwaka na ndo mnazitamba nazo.
Ko mlitaka aweke zote B 20 wakati nyie hakuna hata sh mliochangia kwenye hizo hisa zeno 51%
 
Mashabiki wa simba mnamambo ya kindezi sasa ulitaka watu wasiseme ukweli
 
Badala ya kujibu swali husika naona umetoa maelezo marefuuu...!!
 
Bonge la point. Hata akiweka c zitatumika hivihivi tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…