Johnny Sack
JF-Expert Member
- Jan 21, 2017
- 8,984
- 19,288
Umeambiwa kwamba point zao hazihesabiwi sasa waje wafanye nnUle mkataba wao wa siri walioingia na TFF wasiotaka ujadiliwe na yeyote unaweza kuvurugwa kwa ujio wa Al Hilal.
Hakuna ushindani watakaongeza kwasababu point zao hazihesabiki, Al Hilal ni kama watakuwa wanacheza za kirafiki tu hakuna la maana.Nimepita mtandaoni, nikifuatilia maoni ya wadau mbalimbali kuhusu Al Hilal ya Sudan kushiriki ligi yetu ya NBC mwakani, wengine wameona ni jambo zuri kwa club hiyo ya kimataifa ya Sudan kuja kuongeza ushindani kwenye ligi yetu.
Lakini kwa mashabiki ambao wako mrengo wa Yanga nineona wakipinga vikali hili jambo. Nashindwa kuelewa sababu, mashabiki wa Yanga kwa nini hawataki? Hawataki timu za kimataifa? Wanaichukia Al Hilal? Al Hilal iliwafanya nini?
Kumbe wewe ndio huna AKILI. Wakati Haji alipokua anasema hivyo hakuna msemaji wa UTO, alikua wa MADUNDUKA.UKISHABIKIA SANA SIMBA NA YANGA AKILI KICHWANI ZINAANZA KUYEYUKA UNAKUWA MPUMBAVU BILA KUJIJUA.
AUTOMATICALLY YANI.
Mfano msemaji wa Yanga aliwaambiw yanga kuwa "pale yanga Wenye akili ni wawili tu.
Mzee Kikwete na Mzee Sanday manara"
Haji manara.
Sasa Unaulizaje Hili suala na Ilhali unajua kabisa kuwa wenye akili ni wawili tu.
kwasababu mke mkubwa kolouizdad hatotoboa top3,sisi hatutaki hiloNimepita mtandaoni, nikifuatilia maoni ya wadau mbalimbali kuhusu Al Hilal ya Sudan kushiriki ligi yetu ya NBC mwakani, wengine wameona ni jambo zuri kwa club hiyo ya kimataifa ya Sudan kuja kuongeza ushindani kwenye ligi yetu.
Lakini kwa mashabiki ambao wako mrengo wa Yanga nineona wakipinga vikali hili jambo. Nashindwa kuelewa sababu, mashabiki wa Yanga kwa nini hawataki? Hawataki timu za kimataifa? Wanaichukia Al Hilal? Al Hilal iliwafanya nini?
Inawezekana hao mashabiki unaosema wa Yanga (japo hujathibitisha kama ni wa Yanga kweli) ndio wenye akili zaidi kuliko wengi wenu fuata mkumbo.Nimepita mtandaoni, nikifuatilia maoni ya wadau mbalimbali kuhusu Al Hilal ya Sudan kushiriki ligi yetu ya NBC mwakani, wengine wameona ni jambo zuri kwa club hiyo ya kimataifa ya Sudan kuja kuongeza ushindani kwenye ligi yetu.
Lakini kwa mashabiki ambao wako mrengo wa Yanga nineona wakipinga vikali hili jambo. Nashindwa kuelewa sababu, mashabiki wa Yanga kwa nini hawataki? Hawataki timu za kimataifa? Wanaichukia Al Hilal? Al Hilal iliwafanya nini?
Yani wewe jamaa bonge la boya tena mshamba sana sasa unacomments ya nini wakati ushabikii mpira??UKISHABIKIA SANA SIMBA NA YANGA AKILI KICHWANI ZINAANZA KUYEYUKA UNAKUWA MPUMBAVU BILA KUJIJUA.
AUTOMATICALLY YANI.
Mfano msemaji wa Yanga aliwaambiw yanga kuwa "pale yanga Wenye akili ni wawili tu.
Mzee Kikwete na Mzee Sanday manara"
Haji manara.
Sasa Unaulizaje Hili suala na Ilhali unajua kabisa kuwa wenye akili ni wawili tu.
Tate Mkuu, unaongea kwa hasira lakini haufafanui hoja zakoKuihusisha hiyo timu kwenye ligi yetu ni upuuzi na pia ni uwendawazimu. Kiufupi haileti mantiki hata kidogo. Na hicho kitendo hakina manufaa yoyote yale kwenye ligi yetu. Zaidi tu kitaleta mkanganyiko mkubwa.
Em jaribu kufuatilia ligi daraja la kwanza Ureno na Ligi daraja kwanza Uholanzi utapatamajibu kiurahisi kabisa.Umeambiwa kwamba point zao hazihesabiwi sasa waje wafanye nn
Kwa wanaoona ipo faida ni Kama ifuatavyo,
1. Ni timu Bora, hivyo inaongeza ubora wa mashindano