Kwanini mashabiki wa Yanga wanapinga vikali Al Hilal kushiriki ligi kuu ya Tanzania?

Umeambiwa kwamba point zao hazihesabiwi sasa waje wafanye nn
Hapo pakwenye "point zao hazihesabiki" ndipo kwenye ukakasi hapo!
Wakitaka washiriki, point zao zihesabike lasivyo wasishiriki.
 
Hakuna ushindani watakaongeza kwasababu point zao hazihesabiki, Al Hilal ni kama watakuwa wanacheza za kirafiki tu hakuna la maana.

Kuna vitu ambavyo wanaona upuuzi, yaani kila wikiendi timu fulani inacheza mechi ya kirafiki dhidi ya Al Hilal, je Al Hilal atakuwa ndiye anayewafuata hizo timu kucheza nao mechi za kirafiki au ndio timu inatoka Bukoba inasafiri kwenda Dar kucheza mechi ya kirafiki dhidi ya Al Hilal? Usiriaz hautakuwepo kwenye mechi dhidi ya Al Hilal kwasababu hata ukifungwa au kushinda hakuna maana.
Zaidi zaidi hapo ni kuwachosha tu wachezaji.
 
Kuihusisha hiyo timu kwenye ligi yetu ni upuuzi na pia ni uwendawazimu. Kiufupi haileti mantiki hata kidogo. Na hicho kitendo hakina manufaa yoyote yale kwenye ligi yetu. Zaidi tu kitaleta mkanganyiko mkubwa.
Mkanganyiko upi?
 
Waje tu hata na Al Mareickh. Waje na points zao za CAF. Washiriki ligi kikamilifu. Tuingize CAFCL timu nne. Tuuze haki za matangazo ya mechi zao kwenye TV za Sudan etc.

Kuna fursa ya kupiga mpunga hapa.
Point zao ziisabiwe sasa, sio kishiriki tu.
 
Yaani Kagera sugar atoke Kagera aje dar kucheza friend mechi ya Al Hilal?. Hivi Tff na bodi ya ligi Wana akili timamu kabisa?. Ni upuuzi wa kiwango Cha juu.
 
Waje tu hata na Al Mareickh. Waje na points zao za CAF. Washiriki ligi kikamilifu. Tuingize CAFCL timu nne. Tuuze haki za matangazo ya mechi zao kwenye TV za Sudan etc.

Kuna fursa ya kupiga mpunga hapa.
Sudan kuna tv? We unazungumzia sudan ya mwaka gani?
 
Yaani Kagera sugar atoke Kagera aje dar kucheza friend mechi ya Al Hilal?. Hivi Tff na bodi ya ligi Wana akili timamu kabisa?. Ni upuuzi wa kiwango Cha juu.
Kagera akija dar kucheza na kmc ndio hapo hapo anacheza na Al hilal
 
Kuihusisha hiyo timu kwenye ligi yetu ni upuuzi na pia ni uwendawazimu. Kiufupi haileti mantiki hata kidogo. Na hicho kitendo hakina manufaa yoyote yale kwenye ligi yetu. Zaidi tu kitaleta mkanganyiko mkubwa.
Kwani mna ugomvi gani na al hilal?
 
Hakuna ushindani watakaongeza kwasababu point zao hazihesabiki, Al Hilal ni kama watakuwa wanacheza za kirafiki tu hakuna la maana.

Kuna vitu ambavyo wanaona upuuzi, yaani kila wikiendi timu fulani inacheza mechi ya kirafiki dhidi ya Al Hilal, je Al Hilal atakuwa ndiye anayewafuata hizo timu kucheza nao mechi za kirafiki au ndio timu inatoka Bukoba inasafiri kwenda Dar kucheza mechi ya kirafiki dhidi ya Al Hilal? Usiriaz hautakuwepo kwenye mechi dhidi ya Al Hilal kwasababu hata ukifungwa au kushinda hakuna maana.
Ndo mana wameomba,acheni roho mbaya,mbona al mereikh wamekubaliwa libya
 
Nimepita mtandaoni, nikifuatilia maoni ya wadau mbalimbali kuhusu Al Hilal ya Sudan kushiriki ligi yetu ya NBC mwakani, wengine wameona ni jambo zuri kwa club hiyo ya kimataifa ya Sudan kuja kuongeza ushindani kwenye ligi yetu.

Lakini kwa mashabiki ambao wako mrengo wa Yanga nineona wakipinga vikali hili jambo. Nashindwa kuelewa sababu, mashabiki wa Yanga kwa nini hawataki? Hawataki timu za kimataifa? Wanaichukia Al Hilal? Al Hilal iliwafanya nini?
Jamani hata ndugu zao katika imani wanawakataa(waislam wote ni ndugu)
 
Back
Top Bottom