Kwanini mashabiki wa Yanga wanapinga vikali Al Hilal kushiriki ligi kuu ya Tanzania?

Umeambiwa kwamba point zao hazihesabiwi sasa waje wafanye nn
Hapo pakwenye "point zao hazihesabiki" ndipo kwenye ukakasi hapo!
Wakitaka washiriki, point zao zihesabike lasivyo wasishiriki.
 
Zaidi zaidi hapo ni kuwachosha tu wachezaji.
 
Kuihusisha hiyo timu kwenye ligi yetu ni upuuzi na pia ni uwendawazimu. Kiufupi haileti mantiki hata kidogo. Na hicho kitendo hakina manufaa yoyote yale kwenye ligi yetu. Zaidi tu kitaleta mkanganyiko mkubwa.
Mkanganyiko upi?
 
Waje tu hata na Al Mareickh. Waje na points zao za CAF. Washiriki ligi kikamilifu. Tuingize CAFCL timu nne. Tuuze haki za matangazo ya mechi zao kwenye TV za Sudan etc.

Kuna fursa ya kupiga mpunga hapa.
Point zao ziisabiwe sasa, sio kishiriki tu.
 
Yaani Kagera sugar atoke Kagera aje dar kucheza friend mechi ya Al Hilal?. Hivi Tff na bodi ya ligi Wana akili timamu kabisa?. Ni upuuzi wa kiwango Cha juu.
 
Waje tu hata na Al Mareickh. Waje na points zao za CAF. Washiriki ligi kikamilifu. Tuingize CAFCL timu nne. Tuuze haki za matangazo ya mechi zao kwenye TV za Sudan etc.

Kuna fursa ya kupiga mpunga hapa.
Sudan kuna tv? We unazungumzia sudan ya mwaka gani?
 
Yaani Kagera sugar atoke Kagera aje dar kucheza friend mechi ya Al Hilal?. Hivi Tff na bodi ya ligi Wana akili timamu kabisa?. Ni upuuzi wa kiwango Cha juu.
Kagera akija dar kucheza na kmc ndio hapo hapo anacheza na Al hilal
 
Kuihusisha hiyo timu kwenye ligi yetu ni upuuzi na pia ni uwendawazimu. Kiufupi haileti mantiki hata kidogo. Na hicho kitendo hakina manufaa yoyote yale kwenye ligi yetu. Zaidi tu kitaleta mkanganyiko mkubwa.
Kwani mna ugomvi gani na al hilal?
 
Ndo mana wameomba,acheni roho mbaya,mbona al mereikh wamekubaliwa libya
 
Jamani hata ndugu zao katika imani wanawakataa(waislam wote ni ndugu)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…