The Father of All
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 11,099
- 13,709
Sijui kama wanaijua haki. Maybe haki ya kujikombaMiaka yote tulikuwa tunaambia Uislamni dini ya haki, juzi tena hawaitaki haki wanataka amani.
Muhimu tufatishe maneno ya mwz Mungu yaliyo kwenye Quran tukufu hao wengine wachumia tumbo tuh.
Hao ni masheikh njaa tuh hakuna wanachoweza kubadilishaSijui kama wanaijua haki. Maybe haki ya kujikomba
Basi wait we mashehena au manjaaHao ni masheikh njaa tuh hakuna wanachoweza kubadilisha
Ni masheikh wangapi wana magari yao ga kutembelea. Umasikini ni kitua kibaya sana.View attachment 3504470
Kuna kitu kinanishangaza. Natamani nijue sababu. Tangu aingie bi mkubwa, mashehe wengi wamejitokeza kuwa machawa na waimba kwaya kama wasanii walio wengi.
Je, tatizo ni njaa au uhaba wa maarifa?
Je, ni kwa vile rais ni mwenzao?
Je, huu siyo udini wa wazi kabisa?
Ina maana mashehe huwa hawapewi mishahara na maruprupu vya kutosha kiasi cha kujiamini na kujitegemea?
Huwa wanajituma au kutumwa?
Hivi, wanajua madhara ya wanachofanya?
Wanatoa somo gani kwa vijana?
Mbona shida za Tanzania hazijui dini au ni kwa vile ni wabinafsi na wasaka ngawira kama viongozi wa kikristo wa kujipachika?
Mie wallahi sielewe. Naomba wanangu mnipe elimu bure.
Shukrani sana.
Hata mimi nimeshangaa eti! Kutoka kuwa dini ya haki, mpaka kuwa dini ya amani!!Miaka yote tulikuwa tunaambia Uislamni dini ya haki, juzi tena hawaitaki haki wanataka amani.
Muhimu tufatishe maneno ya mwz Mungu yaliyo kwenye Quran tukufu hao wengine wachumia tumbo tuh.
Hapo kuna combination ya vitu vitatu.Hata mimi nimeshangaa eti! Kutoka kuwa dini ya haki, mpaka kuwa dini ya amani!!
Siku zote niliamini ugaidi uliofanywa na waumini wao ulisababishwa na kunyimwa haki zao za msingi na watu wengine! Sasa leo eti wanaikataa haki! Hawa jamaa siyo bure. Watakuwa wametumiwa majini kwenye vichwa vyao.
Wako kama Mwamposa tofauti ni dini tu. Tumesoma na kukua nao.View attachment 3504470
Kuna kitu kinanishangaza. Natamani nijue sababu. Tangu aingie bi mkubwa, mashehe wengi wamejitokeza kuwa machawa na waimba kwaya kama wasanii walio wengi.
Je, tatizo ni njaa au uhaba wa maarifa?
Je, ni kwa vile rais ni mwenzao?
Je, huu siyo udini wa wazi kabisa?
Ina maana mashehe huwa hawapewi mishahara na maruprupu vya kutosha kiasi cha kujiamini na kujitegemea?
Huwa wanajituma au kutumwa?
Hivi, wanajua madhara ya wanachofanya?
Wanatoa somo gani kwa vijana?
Mbona shida za Tanzania hazijui dini au ni kwa vile ni wabinafsi na wasaka ngawira kama viongozi wa kikristo wa kujipachika?
Mie wallahi sielewe. Naomba wanangu mnipe elimu bure.
Shukrani sana.
View attachment 3504470

Umeua. Wewe una akili sana.
Hatupitwi na tu offer offer twa tutende na tuhalua!View attachment 3504470
Kuna kitu kinanishangaza. Natamani nijue sababu. Tangu aingie bi mkubwa, mashehe wengi wamejitokeza kuwa machawa na waimba kwaya kama wasanii walio wengi.
Je, tatizo ni njaa au uhaba wa maarifa?
Je, ni kwa vile rais ni mwenzao?
Je, huu siyo udini wa wazi kabisa?
Ina maana mashehe huwa hawapewi mishahara na maruprupu vya kutosha kiasi cha kujiamini na kujitegemea?
Huwa wanajituma au kutumwa?
Hivi, wanajua madhara ya wanachofanya?
Wanatoa somo gani kwa vijana?
Mbona shida za Tanzania hazijui dini au ni kwa vile ni wabinafsi na wasaka ngawira kama viongozi wa kikristo wa kujipachika?
Mie wallahi sielewe. Naomba wanangu mnipe elimu bure.
Shukrani sana.
Kunaitwa 'mashehe ubwabwa' maana yake ndiyo hiyo.Basi wait we mashehena au manjaa
Hapana. Ni mashehena uchafu na damu za vijana wetu hawaKunaitwa 'mashehe ubwabwa' maana yake ndiyo hiyo.
View attachment 3504470
Kuna kitu kinanishangaza. Natamani nijue sababu. Tangu aingie bi mkubwa, mashehe wengi wamejitokeza kuwa machawa na waimba kwaya kama wasanii walio wengi.
Je, tatizo ni njaa au uhaba wa maarifa?
Je, ni kwa vile rais ni mwenzao?
Je, huu siyo udini wa wazi kabisa?
Ina maana mashehe huwa hawapewi mishahara na maruprupu vya kutosha kiasi cha kujiamini na kujitegemea?
Huwa wanajituma au kutumwa?
Hivi, wanajua madhara ya wanachofanya?
Wanatoa somo gani kwa vijana?
Mbona shida za Tanzania hazijui dini au ni kwa vile ni wabinafsi na wasaka ngawira kama viongozi wa kikristo wa kujipachika?
Mie wallahi sielewe. Naomba wanangu mnipe elimu bure.
Shukrani sana.
Hawa mashehetani mashehena washindwe
BIG SHOW aje atupe majibu hapaView attachment 3504470