Natafuta Ajira
JF-Expert Member
- Mar 25, 2020
- 9,016
- 24,650
Nimeangalia mechi ya man city vs man utd kiukweli hatujapata burudani ya kutosha kutokana na kwamba kuna baadhi ya wachezaji ambao walitumikia timu zao za taifa hawakuwepo kwa sababu ya kupumzishwa au bado hawajaripoti kambini.
Rodri, Foden, Walker hawakuwepo hata De bryune kaingia baadae sana upande wa Man utd Luke Shaw na Zizkee hawajacheza kabisa, hata baadhi ya wachezaji waliotoka kutumikia timu za taifa pia walionekana kuwa na uchovu kiasi fulani mfano Mainoo akuwa mchezoni kabisa leo.
Vyama vya soka vikae pamoja na kuangalia uwezekano wa haya mashindano ya timu za taifa kucheza katikati ya msimu kwa sababu yanaalibu program za makocha kuelekea msimu mpya, pia itasaidia hata wachezaji kupata muda wa kutosha kupumzika kipindi cha likizo.
Nafikiri inawezekana kabisa kama ratiba zikipangiliwa vizuri. Afcon inachezwa february hata world cup iliyopita ilichezwa november.