Technophilic Pool JF-Expert Member Joined Jan 18, 2024 Posts 3,104 Reaction score 4,574 Jun 11, 2025 #1 wakuu nimeenda benk kwa ajili ya kupata hizi mashine. Bei zake zimeniacha hoi hadi najiuliza n kukomoana au kupunguza watu
wakuu nimeenda benk kwa ajili ya kupata hizi mashine. Bei zake zimeniacha hoi hadi najiuliza n kukomoana au kupunguza watu
Nucky Thompson JF-Expert Member Joined Sep 20, 2016 Posts 2,194 Reaction score 4,805 Jun 11, 2025 #2 Ni bei gani
Joselela JF-Expert Member Joined Jan 24, 2017 Posts 6,898 Reaction score 9,809 Jun 11, 2025 #3 Hata hivyo bei nafuu kwasababu inasababisha tuwe tunazunguka sana, unakuta wakala hana cash ya 5m tu.
Hata hivyo bei nafuu kwasababu inasababisha tuwe tunazunguka sana, unakuta wakala hana cash ya 5m tu.
Lavit JF-Expert Member Joined May 16, 2011 Posts 16,480 Reaction score 38,367 Jun 11, 2025 #4 Zinauzwa bei gani kwani?
adrenaline JF-Expert Member Joined Jun 17, 2015 Posts 4,727 Reaction score 8,093 Jun 11, 2025 #5 Bongo bwana ni kama wote tunajua bei vile.
M Manjovial JF-Expert Member Joined Aug 12, 2015 Posts 727 Reaction score 1,299 Jun 11, 2025 #6 Mashine za CRDB nyingi mbovu ..zinaweza zingua hata kutoa risiti au kusoma mtandao kuirekebisha tu wanakuchaji pesa
Mashine za CRDB nyingi mbovu ..zinaweza zingua hata kutoa risiti au kusoma mtandao kuirekebisha tu wanakuchaji pesa
Mbeba Lawama JF-Expert Member Joined Oct 12, 2015 Posts 1,152 Reaction score 3,879 Jun 11, 2025 #7 duh mm nmechukua ya nmb depost unayoweka na huta itoa wala kujua imeenda wap n Ml 1 na laki moja na 16 🙌
duh mm nmechukua ya nmb depost unayoweka na huta itoa wala kujua imeenda wap n Ml 1 na laki moja na 16 🙌
The Conscious JF-Expert Member Joined Mar 18, 2021 Posts 855 Reaction score 1,454 Jun 11, 2025 #9 Bei kubwa ndiyo bei gani? Hebu iandike hapo tujue kwa wengine bei kubwa inaanzia mil 15 na zaidi isije ikawa mil 2 nayo useme ni bei kubwa kwenye hiyo huduma
Bei kubwa ndiyo bei gani? Hebu iandike hapo tujue kwa wengine bei kubwa inaanzia mil 15 na zaidi isije ikawa mil 2 nayo useme ni bei kubwa kwenye hiyo huduma
Econometrician JF-Expert Member Joined Oct 25, 2013 Posts 17,929 Reaction score 33,764 Jun 11, 2025 #10 Watanzania bana mtu anaandika as if kila moja anafanya miamala hivyo anajua vei za hizo machine
Yudasti JF-Expert Member Joined Jan 22, 2017 Posts 1,094 Reaction score 1,619 Jun 11, 2025 #11 Kwani huyu ni mfanyabiashara wa nini? Mbona ana wasiwasi sana.
Tumwesige senior JF-Expert Member Joined Jan 28, 2013 Posts 6,978 Reaction score 12,641 Jun 11, 2025 #12 Toa bei jamaa,mambo ya bei kubwa ambayo haitajwi hatutaki kuyaskia hapa