kumbee!😔 hata sikuwa najua
Ngoja tuwasubiri mashoga waje...Nimewaza sana Hawa mashoga Lesbian nikwanini walichagua rangi za upinde wa mvua nakuwa kiwakilishi cha Bendera yao kama kuna shoga atufafanulie usihofu siku hizi mnakubalika.[emoji28]
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu unakaa siti ya mbele kwenye gari inayopakia mashoga!!!!?Duh angalia bhana mi nilikuja kukutahadharisha tu nashuka mm kwaheriNgoja nikae siti ya mbele nisubiri wajuvi wafunguke...
Tuheshimiane mkuu
Tuheshimiane mkuu