ujoka
JF-Expert Member
- Nov 27, 2014
- 4,792
- 11,295
Utajikuta umevaa tshirt kali kinyama ila ni iko na movement color za lgbt at the end the day ukatongozwa na mabazaz kumbe masikin wala hauna idea mzee baba
Haya majamaa yameinvest kwenye vitu vingi mianvuli tshirts sandals vifaa vya watoto kuanzia midoli mpaka cartoon za watoto sasa hii kitu ina effect kubwa sana especially kwa watoto hawa jamaa wanajua wanachokifanya so bro knowledge is power nina mtoto wa miaka miwil anapenda sana animation namuwekeaga sana akili maana naona imekaa kiafrika zaid ila nikashtuka kumuona happy hippo amevaa dude shingoni lina rangi za lgbt nikajua tu hapa kuna homosexual agend dogo haangalii tena hio