Kwanini Mashoga walichagua Rainbow color kama no kiwakilishi change bendera Yao?

Nimewaza sana Hawa mashoga Lesbian nikwanini walichagua rangi za upinde wa mvua nakuwa kiwakilishi cha Bendera yao kama kuna shoga atufafanulie usihofu siku hizi mnakubalika.[emoji28]

Sent using Jamii Forums mobile app

Rangi za rainbow ni symbol ya diversity kwa muda mrefu sana. Ilitumika sana wakati wa harakati za kupambana na ubaguzi wa rangi. Ndio maana mwaka 1994 Mandela alipokuwa Rais SA ikaitwa Rainbow nation............taifa lililokubali uwepo wa diversity. "Dunia ya sasa" inapiga sana kampeni ya kutaka ushoga nao uwe sehemu ya diversity.

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…