Malumbo wa ngullo
JF-Expert Member
- Oct 22, 2015
- 3,246
- 11,011
mkuu hayo mapigo ya vifungo juu ya wachungaji hayo kwamba nao.......... ndo tuseme....Habarini Wakubwa?
Binafsi sijawahi nivaapo Shati sijawahi kabisa kufunga vifungo vyote vya shati hasa cha shingoni pale, lakini cha ajabu nimewaona MASHOGA wengi wavaapo mashati hufunga vifungo vyote mpaka cha shingoni huwa sielewi wanaanisha nini au ndio moja ya Identity yao?