Malumbo wa ngullo
JF-Expert Member
- Oct 22, 2015
- 3,246
- 11,011
mkuu hayo mapigo ya vifungo juu ya wachungaji hayo kwamba nao.......... ndo tuseme....Habarini Wakubwa?
Binafsi sijawahi nivaapo Shati sijawahi kabisa kufunga vifungo vyote vya shati hasa cha shingoni pale, lakini cha ajabu nimewaona MASHOGA wengi wavaapo mashati hufunga vifungo vyote mpaka cha shingoni huwa sielewi wanaanisha nini au ndio moja ya Identity yao?
cjui kama kuna ukweli juu ya hizi habari naomba ajitokeze shoga hata mmoja atupe ukweli juu ya hili kwan humu jf hakuna makaka poamkuu hayo mapigo ya vifungo juu ya wachungaji hayo kwamba nao.......... ndo tuseme....
mkuu asee juzi nilipaki sehemu fulani hivi apa mjini nikaona mi njemba iko ng'ambo ya barabara inauza minikabang na wanawake na wanaona jambo la kawaida sanaaaaaaaaaaaaaaaaaaa....cjui kama kuna ukweli juu ya hizi habari naomba ajitokeze shoga hata mmoja atupe ukweli juu ya hili kwan humu jf hakuna makaka poa
Kwanin unawafuatilia razima naww utakua unavutiwa na jinsia yako!!straight men do not concern about gay but concern about womenHabarini Wakubwa?
Binafsi sijawahi nivaapo Shati sijawahi kabisa kufunga vifungo vyote vya shati hasa cha shingoni pale, lakini cha ajabu nimewaona MASHOGA wengi wavaapo mashati hufunga vifungo vyote mpaka cha shingoni huwa sielewi wanaanisha nini au ndio moja ya Identity yao?
mmhhh!!!!,Upo serious kweli wewe???,Tangu lini Shoga akajiheshimu???,Kuwa Shoga tu Maadili na Utu wa Kibinadamu aliyekamilika vimeshatoweka sasa huko kujiheshimu kunakujaje???,Au ndo Mwamba ngoma huvutia kwake nini???,Yawezekana huyu naye ni walewale.Mkuu wanajiheshimu hawataki kuexpose manyonyo yao sio kama kina dada zetu mtaani.....
Kweli kabisa mkuu!!!,hawa jamaa ni kuachana nao kabisa,tunapowajadili mara kwa mara wanapata credit kwamba ni watu wa muhimu kumbe sivyo maana wanapolute maadili ya jamii zetu.Ya ngoswe muachie ngoswe....kuanza kuwajadili hao ni kuonesha kuwa tunashughulishwa na uwepo wao...
Mzee Mandela alikuwa akivaa Mashati yake ya Ujiuji vifungo vyote anafunga
Mi cjawahi kumwona shoga unawez weka picha pliz
Kila mtu anasema lake, Wengine wanasema alikuwa anawala ndogo Maafisa magereza ndo maana akaugua Kansa ya Kibofu.inasemekana Mandela alkuwa na tattoo mwil mzma alzchora akiwa gerezan
Sasa utawatambuaje kuwa ni wauza 0713?Habarini Wakubwa?