Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Taarifa nilizonazo ni kwamba Masoko yote haya yanayowaka huwa yanaungua Usiku tu, wala hatujawahi kusikia kuna mahali moto umewaka mchana ukazimwa kwa vile watu hawakulala.
Kama kweli moto huu unatokana na ajali tu ama shoti za umeme, ni kwanini shoti au ajali hizo za akina mama lishe zitokee usiku pekee?
Kama kweli moto huu unatokana na ajali tu ama shoti za umeme, ni kwanini shoti au ajali hizo za akina mama lishe zitokee usiku pekee?