Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Jibu unalo na unauliza swali!.Cha kushangaza mda huo huwa hakuna foleni na bado Moto hauzimwi,
Jiulize hawa zimamoto sababu yao ya msingi ni Nini?
[emoji38][emoji38][emoji38]Kwasababu hakuna mishuguliko wala watu usiku hivyo tatzo linapotokea haligunduliki kwa haraka tofuti na mchana watu ni wengi inakua rahisi kuona tatzo na kulidhibiti